Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Nafikiri inshu za kununua tiketi nyingi ili uziuze kwa bei kubwa wenye tamasha walisha piga stop, labda kama bado, wamepuuziaMichezo ya hivi ipo sana
Unakuta mtu ananunua tickets hata 100 halafu anaziuza kwa mwendo wa kuruka
Faida anayopiga sio mchezo
Miaka kuanzia 1990 mpaka 2000 UK ulikuwa unaweza kununua mpaka 50 bila masharti ila baadae wamepiga marufuku Baada ya kugundulika watu wanaziuza kwa bei ya juu sana
Sold out? Mjiulize sana hapo
Siasa ziki kaaa kichwani bhana🤣🤣🤣Money Laundering inanukia
Sio mshahara anapokea mchezo yaani kijumbe.Fanya kilimo au biashara
watu wapeleke mbele wakisubili ulipwe mshahara wako wewe !
Huyo jamaa ana kismati tu Lakini hawezi kumfikia feregolaFally ni noma.
Huyo Fally ipupa ni kama Ali akiba kiboko yake feregola ila hawamletagi bongo me namfataga huko huko..Fahii Ipupa, mutu ya watu kahibu sana Tanzanie.
Mjomba umefika Congo Kinshasa?HAKUNA NCHI WATU WANAPENDA BURUDANI KAMA TANZANIA!
Mfano tusema Kiingilio Million 50 kwa siti moja sio apeche hio ni standard hujaenda premium mpaka platinum plus meza kubwa mzunguko watu 8 ni pesa mkononi na inakua sold outWabongo kwa kulalamika mbona vitu vya kawaida hivyo View attachment 3688906
Kabisa mkuu watu wana helaMfano tusema Kiingilio Million 50 kwa siti moja sio apeche hio ni standard hujaenda premium mpaka platinum plus meza kubwa mzunguko watu 8 ni pesa mkononi na inakua sold out
FreshSiasa ziki kaaa kichwani bhana🤣🤣🤣