Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

Suala la muda kwa wasanii wetu mtihani. Watu wako ukumbini toka saa moja jioni...msanii anapanda saa saba usiku na wengine wanakuwa wako bwaksi.

Afu anakuja na weka mikono juu....Dammit!

Kwahili wacha Polisi wafunge tu. Wakati mwingine ajifunze kujali muda wa mashabiki wake.
 
Na kuwamwagia mashabiki maji, kisha kujirusharusha kama chura , na show eti imekwisha. Ukweli sijawahi kuona Harmo anachoonesha stejini.
 
Back
Top Bottom