PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Jamaa kaandika Upupu.... Hata Kiswahili kinamsumbua.... Kama vipi aandike Kimakonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka kajamaa ni kaboya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaandika Upupu.... Hata Kiswahili kinamsumbua.... Kama vipi aandike Kimakonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ungemuuliza Harmonize mwenyewe bila shaka angekueleza sababu za show yake kuzuiwa. Au RPC anaweza kuwa na majibu. Namba zake zipo kwenye tovuti ya jeshi la polisi. Kama una tetesi zingine lete [emoji2099][emoji2099]
mkuu pia richa ni abbreviation na vipi kuhusu trayinghujua ata njia note taking abbreviations is allowed itakuwa Instagram?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mbona?
Nipo mbona?
Niliona mbwembwe zako kule kwenye thread ile kijiweni nikacheka sana. Yule soja aliyetoa ile comment hafai. Na wewe hufai. Nyote hamfai [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema lakini?
Tumshukuru Mungu kwa yote sis...na tumuombe Aendelee kutubariki bila kukoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijaingia siku mingi humu mpaka nasahau. Huku kwema
Tumshukuru Mungu kwa yote sis...na tumuombe Aendelee kutubariki bila kukoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na kuwamwagia mashabiki maji, kisha kujirusharusha kama chura , na show eti imekwisha. Ukweli sijawahi kuona Harmo anachoonesha stejini.Suala la muda kwa wasanii wetu mtihani. Watu wako ukumbini toka saa moja jioni...msanii anapanda saa saba usiku na wengine wanakuwa wako bwaksi.
Afu anakuja na weka mikono juu....Dammit!
Kwahili wacha Polisi wafunge tu. Wakati mwingine ajifunze kujali muda wa mashabiki wake.