Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

Sijaingia siku mingi humu mpaka nasahau. Huku kwema
Nipo mbona?

Niliona mbwembwe zako kule kwenye thread ile kijiweni nikacheka sana. Yule soja aliyetoa ile comment hafai. Na wewe hufai. Nyote hamfai [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwema lakini?
 
Suala la muda kwa wasanii wetu mtihani. Watu wako ukumbini toka saa moja jioni...msanii anapanda saa saba usiku na wengine wanakuwa wako bwaksi.

Afu anakuja na weka mikono juu....Dammit!

Kwahili wacha Polisi wafunge tu. Wakati mwingine ajifunze kujali muda wa mashabiki wake.
 
Na kuwamwagia mashabiki maji, kisha kujirusharusha kama chura , na show eti imekwisha. Ukweli sijawahi kuona Harmo anachoonesha stejini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…