Show ya Harmonize Yanga Day

Show ya Harmonize Yanga Day

Ndio wabongo tulivyo ...fitna chuki dharau .kejeli roho mbaya wivu majungu ushirikina uchawi roho mbaya ...yaani hii combo yote wa-bongo ndio Tamaduni yetu vey sad

kweli mkuu.ndio maana wanamuziki wetu wanapata stress,Harmo amefanya ubunifu mkubwa alafu wanamnanga siku nyingine atakata tamaa.
 
Michael Jackson alikuwa anatengeneza kufanya biashara. Harmonize alishafanya biashara kwa kuingia mkataba wa kupiga show, ila aliamua kuweka manjonjo. Hapo kuna mambo mawili tofauti kati ya hao wawili

mkuu,hata michael jackson alikua anafanya manjonjo ya kulipua cheche ndio maana aliungua,unaweza icheki ile video youtube ujionee
 
mimi nashangaaga hivi kwanini tunawachukia vijana wetu jamani
hatuoni aibu[emoji22] Diamond & Harmo nk wanafanya kazi sana, wanatafuta mkate wao wa kila siku ni sapoti inahitajika sio chuki binafsi
Ni ushabiki wa kijinga . Changamoto kama hizo ndo zinamjenga mtu na kuwa mkubwa ktk anachokifanya. Niwakumbushe tu kuwa Diamond alianguka stejin, amesharushiwa makopo, ameshazomewa sana na hata siku ile ya Simba day kitu ambacho watu hawakugundua ile helicopter iligoma kuwaka kipindi anaondoka uwanjani. Na kila mmoja katika maisha yake lazima kuna sehem mambo yakujikwaa yapo
 
Ambition plus Huo Ni ubunifu wa kipuuzi atafute ubunifu utaoendana na level yake haya masuala ya kutaka kuwa tofauti Ili asifanane na aliyekuwa boss wake Diamond usishangae siku akaingia na boxer uwanjani

Lengo lilikuwa na kunogesha shughuli ya wananchi..

Hizo habari za sijui asifanane na boss wake ( Kwanza boss wake ni Jembe ) unazitoa wapi. Punguza mahaba bwana mdogo.

Hunaga jema kwa wasanii tofauti na diamond. Unaendeshwa na mahaba. Ajabu sana kwa mtoto wa kiume kuendeshwa na mahaba, unless uvinasaba vya uJuma Lokole ama uCocastica.

Mziki ni zaidi ya kupaka poda na kuvaa hereni. Harmonize kawakumbusha wasanii wenzake. Nadhani ni wa kwanza kufanya hivyo..

Unasema ampite kwa lipi..? Upo sreouz?

Sipo kuwalinganisha, ila paka sasa Harmonize ameweza kuimba live events nyingi tofaut na huyo jamaa ako MZEE wa play back. Mziki umebadirika..

Kelele staging badala ya kufanya kilichokupeleka.

Ngoja niishie hapa..

Kikubwa mpongeze mshkaji wa uthubutu..
 
Pole sana Konde Boy kwa ajali....Kama wada walivyoshari CT Scan / MRI inahusika.
 
Lady Gaga Super Bowl halftime ya 2017/2018 aliingia na kamba kama anashuka toka mbinguni. Alitisha sana.
Huyu kijana nae kajitahidi ingawa kushuka pale kidogo walifeli ila fresh.
Kweli Konde ni jeshi. Bila kumcompare na mtu yoyote.
20347A68-2FA3-406F-9F84-F0F8D7EBEB9D.jpeg
665C2016-042E-42BA-B792-7E5E795E7803.jpeg
 
Watu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
Jamaa alikufa vibaya sana yule
 
Watu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
jamaa miguu ilizama tumboni baada ya kuanguka toka ghorofa ya kumi,alikata moto pale pale
 
Back
Top Bottom