Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio wabongo tulivyo ...fitna chuki dharau .kejeli roho mbaya wivu majungu ushirikina uchawi roho mbaya ...yaani hii combo yote wa-bongo ndio Tamaduni yetu vey sad
Michael Jackson alikuwa anatengeneza kufanya biashara. Harmonize alishafanya biashara kwa kuingia mkataba wa kupiga show, ila aliamua kuweka manjonjo. Hapo kuna mambo mawili tofauti kati ya hao wawili
Ko ulitaka agande angani? Ungekuwa umepita hata jkt tungeongea k2.Sasa unampongeza badala ya kumpa pole kwa kudondoka we vipi?
Ahsante mwalimu wa kiswahili fasahaAndikakiswahili fasaha bwana!!Ko=Kwahiyo
Ni ushabiki wa kijinga . Changamoto kama hizo ndo zinamjenga mtu na kuwa mkubwa ktk anachokifanya. Niwakumbushe tu kuwa Diamond alianguka stejin, amesharushiwa makopo, ameshazomewa sana na hata siku ile ya Simba day kitu ambacho watu hawakugundua ile helicopter iligoma kuwaka kipindi anaondoka uwanjani. Na kila mmoja katika maisha yake lazima kuna sehem mambo yakujikwaa yapomimi nashangaaga hivi kwanini tunawachukia vijana wetu jamani
hatuoni aibu[emoji22] Diamond & Harmo nk wanafanya kazi sana, wanatafuta mkate wao wa kila siku ni sapoti inahitajika sio chuki binafsi
Rayvanny hajafika level hizo. Kibongobongo ukitaja top artists lazima utaje watatu2 Simba, Tembo na AlyHakuna Cha harmonize wala nini hapa ni DIAMOND TU NA RAYVANNY OVA
Tembo ni icon ya Ally achen kumubia,Kuna wanyama wengi sana polini,harmo tumuite wolves litamfaaRayvanny hajafika level hizo. Kibongobongo ukitaja top artists lazima utaje watatu2 Simba, Tembo na Aly
Calculated riskWatu wanaofanikiwa ni wale wasioogopa kuchukua risk.
Ambition plus Huo Ni ubunifu wa kipuuzi atafute ubunifu utaoendana na level yake haya masuala ya kutaka kuwa tofauti Ili asifanane na aliyekuwa boss wake Diamond usishangae siku akaingia na boxer uwanjani
Nimebeza upuuzi alioufanya. Mwishoni nyie wapambe nuksi mtamshauri aingie akiwa ndani ya jeneza.
Kama ya Harmonise.Calculated risk
Mondi katokea wapi hapa!?kwani tatizo nini, mond nani alimshauri??
Hata hiyo aliyofanya kwani yeye ndiye kaanzisha!? Jema ukiwa nalo wewe na wenzako inatosha pia.Mtasema kamuiga undertaker. Hamnaga jema nyie
Ndio ndio mzeeKama ya Harmonise.
Huyu jamaa anajifanya anajua kutania wenzake ...Hakuna jipya kuiga tu awe mbunifuView attachment 1553496View attachment 1553497
Jamaa alikufa vibaya sana yuleWatu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
jamaa miguu ilizama tumboni baada ya kuanguka toka ghorofa ya kumi,alikata moto pale paleWatu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan