Buraza, shuguli zetu tunafanya na ndio maana tumeweza kumiliki computer/simu na kununulia bando ili kuingia humu,pia husisahau kuwa ukiona mtu yupo humu muda mwingi jua huyo kashiba,ila akiwa na njaa yeye mwenyewe ataondoka bila ya kuondolewa na mtu.Timu ungese hizi ndio zinazotuharibia music ni kwa nini msifanye shughuli zenu badala ya kuchongoa?
Sasa kwa nini mnawachonganisha wenzenu?Buraza, shuguli zetu tunafanya na ndio maana tumeweza kumiliki computer/simu na kununulia bando ili kuingia humu,pia husisahau kuwa ukiona mtu yupo humu muda mwingi jua huyo kashiba,ila akiwa na njaa yeye mwenyewe ataondoka bila ya kuondolewa na mtu.
Kwa majungu ya timuMuziki UPI unaharibiwa..!?
Kivipi..!?
Mkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.Sasa kwa nini mnawachonganisha wenzenu?
Naunga mkono hoja yakoUnajua kwenye MTV alipanic baada ya kukosa tuzo ndo mana ila huwa anaimba vizur
Alikuwa mlinzi wa saut solUngemwona sasa na jiti lake utafikiri yeye ndo mwenye show
Kiki ya kuitwa mwindaji, kidgo asepe na jicho la shabikiAhahaaaaaah...
Alikuwa anatafuta KIKI bin ATTENTION mkuu...
Nafikiri plan yake ilizaa matunda kwani KIKI aliipata kweli..!
Du basi sawa mkuu kama ni kweliMkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.
Ahahaaaaah...Kiki ya kuitwa mwindaji, kidgo asepe na jicho la shabiki
Kakusikia,muda si mrefu ataziweka.Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
Sijawahi kuona tofauti kati yako na hao mashabiki wa huyo Kiba,. Wote mnaendeshwa kwa mihemko.Unajua mkuu,mimi huwa naona burudani sana tena sana kuyajibu haya MAFALA YA HUMU YANAYOJITOA UFAHAMU MAKUSUDI,kimtu chenyewe kimebahatika kufanya shoo moja nje ya Mombasa,ila hizi takataka zake humu zina kelele sana.
Ni kweli mkuu,we unadhani kwanini kiba hawezi kuongea kitu bila kutupa dongo gizani ........(ANAUJUA UKWELI HUU)Du basi sawa mkuu kama ni kweli
Tofauti ipo, mi napomtetea basi ninao na ushahidi,ila wao wanaropoka tu kama wapo FB au IG.Sijawahi kuona tofauti kati yako na hao mashabiki wa huyo Kiba,. Wote mnaendeshwa kwa mihemko.
Jamaa anaingia hadi huku kumbeKakusikia,muda si mrefu ataziweka.
Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??
Kiongozi sio kwamba watafutika,ila atafutika.Mkuu hatuwachonganishi,ila SISI NDIO TUNAWAFANYA WAENDELEE KUWEPO,TUSIPOFANYA UJINGA HUU MUDA SI MREFU WATAFUTIKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI.
Lazima tuwe wakweli haya mambo ya timu yanatupofusha. Kiba akishirikishwa na saut sol aliimba vizuri kuliko Daimond.Huku sio Instagram ambako utaongea bila kuweka ushahidi, unaona wenye shoo yao ambao ndio waliomlipa wanachokisema,weka ya Kiba anapongezwa na MTV kama alipiga shoo nzuri....??