Sijakuelewa ..??Lazima tuwe wakweli haya mambo ya timu yanatupofusha. Kiba akishirikishwa na saut sol aliimba vizuri kuliko Daimond.
Hahaha hapo mwisho yaaaga na yule mwingine yooooUnataka kunambia kuwa domo alijiandaa kabisa kuchomoka mbele ya mnyama star boy wiz wizo yaaaga
Kwa hiyo awo wapiga vyombo kawaajili yeyeDiamond alisema ataanza kuimba na bendi akishanunua vifaa vya bend yake mwenyewe na iyo bend iwe na uwezo wa kupiga bongo sio nyimbo ya bongo fleva ina unaimba live kama bolingo
Sasahivi kasakamilika bendi iko full inapiga vizuri vifaa vyote Malawi walienjoy sana
Ndio hao wote kawaajili yeye mwenyewe hata bei yake ya booking imepanda sasahivi shows zake zinazifuata zanzibar, zambia , zimbabwe, congo na kenya zote atapiga live na bend yakeKwa hiyo awo wapiga vyombo kawaajili yeye
Sio show zote atapiga live inategemea na uwezo wa anaefanya bookingMmmh live band nahisi ni gharama sana je atamudu iyo gharama au unafanya ivo ili kukata kilimilimi cha wanaomponda kuwa hawez live band
Ah, basi walivochachamaa utadhani wanakujuaMimi ningekuwa KIFESI basi habari za WCB mi ndio ningekuwa nazileta hapa kabla ya mtu yeyote, naitikia hilo jina kwasababu sina ninachopungukiwa.
Hii hapa video mkuu,halafu kakuwekea na boooooooooonge la ratiba.Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
Halafu inatokea TAKATAKA moja inasema nafanyiwa figisu,YAANI ALIYEKUZIDI KILA KITU HAKUHUJUMU MTU AMBAYE HUMFIKII KWA LOLOTE....??Diamond ndo mwanamuziki pekee wa Tanzania anaefanya shows kubwa nje ya Tanzania, hadi sasahivi ana booking
Zambia
Zimbabwe
Congo
Nigeria
Kenya
Mayotte
Botwana
Nov 26 kuna vita maana Botwana, kenya na Nigeria kote wanamtaka hiyo tarehe.
Bado tour yake na neyo UK
Dar Es salaam kumuona diamond kwenye show ni ngumu sana mwaka huu
Zingine ni porojo tu za mjini ukitoka nje ya Tanzania ndo utajua ukweli, Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania mwenye bahati mziki wake unakubalika sana mataifa mengine nchi kama botswana, swazland, south africa, madagascar sasa hivi ameshapenya mrejesho ni mkubwa sana wa kazi zake na ameshaanza kupata mialiko mikubwa ya shows.Halafu inatokea TAKATAKA moja inasema nafanyiwa figisu,YAANI ALIYEKUZIDI KILA KITU HAKUHUJUMU MTU AMBAYE HUMFIKII KWA LOLOTE....??
Huyu jamaa ni shida,nilikuwa nacheki hii video ndio nikajiuliza kwanini alimuacha yule baunsa wake maana kawapa kazi watu wengine.Zingine ni porojo tu za mjini ukitoka nje ya Tanzania ndo utajua ukweli, Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania mwenye bahati mziki wake unakubalika sana mataifa mengine nchi kama botswana, swazland, south africa, madagascar sasa hivi ameshapenya mrejesho ni mkubwa sana wa kazi zake na ameshaanza kupata mialiko mikubwa ya shows.
Mfano nchi kama Uganda wanamuziki wote wa kenya na Tanzania hakuna msanii anae angalau anaweza mkaribia diamond kwa kukubarika mziki wake unapata rotation ya kutosha kwenye Tv na Radio na waganda ni wagumu sana kupiga nyimbo ambazo si za kiganda.
Hakuna msanii msanii wa east africa anakubalika nje ya east africa zaidi Diamond na Eddy kenzo
1. Diamond
2. Eddy kenzo
Live band na umiliki wa band hata chidi benzi alikua nayo so hamna mapinduzi hapoNdio hao wote kawaajili yeye mwenyewe hata bei yake ya booking imepanda sasahivi shows zake zinazifuata zanzibar, zambia , zimbabwe, congo na kenya zote atapiga live na bend yake
Na akipiga live band huta ona utofauti na ukiweka cd maana bend itakuwa inafaa vyote sio nyimbo ya bongo fleva ikipigwa live inageuka bolingo kwasababu ya baadhi ya vifaa kumiss
Ni mapitunduzi ya live band anayaleta Diamond kwenye Bongo Fleva
Hii hapaNimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi