Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

Diamond alisema ataanza kuimba na bendi akishanunua vifaa vya bend yake mwenyewe na iyo bend iwe na uwezo wa kupiga bongo sio nyimbo ya bongo fleva ina unaimba live kama bolingo
Sasahivi kasakamilika bendi iko full inapiga vizuri vifaa vyote Malawi walienjoy sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Kwa hiyo awo wapiga vyombo kawaajili yeye
 
Mmmh live band nahisi ni gharama sana je atamudu iyo gharama au unafanya ivo ili kukata kilimilimi cha wanaomponda kuwa hawez live band
 
Ndio hao wote kawaajili yeye mwenyewe hata bei yake ya booking imepanda sasahivi shows zake zinazifuata zanzibar, zambia , zimbabwe, congo na kenya zote atapiga live na bend yake
Na akipiga live band huta ona utofauti na ukiweka cd maana bend itakuwa inafaa vyote sio nyimbo ya bongo fleva ikipigwa live inageuka bolingo kwasababu ya baadhi ya vifaa kumiss
Ni mapitunduzi ya live band anayaleta Diamond kwenye Bongo Fleva
 
Sio show zote atapiga live inategemea na uwezo wa anaefanya booking
 
Mimi ningekuwa KIFESI basi habari za WCB mi ndio ningekuwa nazileta hapa kabla ya mtu yeyote, naitikia hilo jina kwasababu sina ninachopungukiwa.
Ah, basi walivochachamaa utadhani wanakujua
 
Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
Hii hapa video mkuu,halafu kakuwekea na boooooooooonge la ratiba.

Halafu yule wa kuishia Mombasa anasema anafanyiwa figisu na huyu mtu,kweli inaingia akilini ..... RATIBA YA HAPO JUU UNAIJAZIA NA HII YA HAPA CHINI.

Diamond ndo mwanamuziki pekee wa Tanzania anaefanya shows kubwa nje ya Tanzania, hadi sasahivi ana booking
Zambia
Zimbabwe
Congo
Nigeria
Kenya
Mayotte
Botwana
Nov 26 kuna vita maana Botwana, kenya na Nigeria kote wanamtaka hiyo tarehe.
Bado tour yake na neyo UK
Dar Es salaam kumuona diamond kwenye show ni ngumu sana mwaka huu
 
Halafu inatokea TAKATAKA moja inasema nafanyiwa figisu,YAANI ALIYEKUZIDI KILA KITU HAKUHUJUMU MTU AMBAYE HUMFIKII KWA LOLOTE....??
 
Zingine ni porojo tu za mjini ukitoka nje ya Tanzania ndo utajua ukweli, Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania mwenye bahati mziki wake unakubalika sana mataifa mengine nchi kama botswana, swazland, south africa, madagascar sasa hivi ameshapenya mrejesho ni mkubwa sana wa kazi zake na ameshaanza kupata mialiko mikubwa ya shows.
Mfano nchi kama Uganda wanamuziki wote wa kenya na Tanzania hakuna msanii anae angalau anaweza mkaribia diamond kwa kukubarika mziki wake unapata rotation ya kutosha kwenye Tv na Radio na waganda ni wagumu sana kupiga nyimbo ambazo si za kiganda.
Hakuna msanii msanii wa east africa anakubalika nje ya east africa zaidi Diamond na Eddy kenzo
1. Diamond
2. Eddy kenzo
 
Huyu jamaa ni shida,nilikuwa nacheki hii video ndio nikajiuliza kwanini alimuacha yule baunsa wake maana kawapa kazi watu wengine.
 
Ndio hao wote kawaajili yeye mwenyewe hata bei yake ya booking imepanda sasahivi shows zake zinazifuata zanzibar, zambia , zimbabwe, congo na kenya zote atapiga live na bend yake
Na akipiga live band huta ona utofauti na ukiweka cd maana bend itakuwa inafaa vyote sio nyimbo ya bongo fleva ikipigwa live inageuka bolingo kwasababu ya baadhi ya vifaa kumiss
Ni mapitunduzi ya live band anayaleta Diamond kwenye Bongo Fleva
Live band na umiliki wa band hata chidi benzi alikua nayo so hamna mapinduzi hapo
 
Diamond ameimba kapiga show ya nguvu sana kwani fukwe ya mwalawi ilijaa sana nvuwa ilinyesha sana lakini watu hawakutoka kwenye stage kwa ubora wa show
Mondi hana upinzani
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom