Show ya Wema kwenye EATV

Show ya Wema kwenye EATV

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Nimefungulia tv Chanel ya East Africa Tv (EATV) nimekutana na Show ya mwanadada Wema Sepetu ila cha kuskitisha kuna nguo flani kavaa yaani inaacha wazi kabisa Chakula cha Watoto (M.a.t.i.t.i) hadi wameamua kuweka kivuli sehemu ya kifuani kuzuia Chakula cha watoto kisionekane

Sasa kwanini wasirushe kabisa tu hiki kipindi?
 
Hivi hicho kipindi kilikuwa hakina director??,hakuliona hilo au alifikiri yupo instagram pale anavaa tu na kujifotoa anavyotaka.
 
Acheni wivu nyie,muanze kulalamika video za hiphop za marekani zinapigwa zikionyesha wasichana wamevaa chupi tu na kucheza.

Si mbadilishe channel kama mnakwazika.kile kipind kina eleza maisha yake ya kila siku na zile nguo ndio anavaa karibia kila siku.

Kama mnakwazika msiangalieee ajalazimishwa mtu
 
EATV hawana muda huo wao wanapiga zao mpunga wanakausha ndio biashara ilivo kuna raia wanatamani kuona nyonyo ya Wema ujue ivo wameridhika.
 
Kwa maoni yangu hiki kipindi sidhani kama kina Director na hata script writing ya kuongoza matukio....
Nafikiri anajipangia yeye mwenyewe......
Kwa mtu uliezoea kufatilia Reality show utaona tofauti...kipindi lazima kiwe na director na script pia iwepo.
 
Kina bore tu, simuelewagi huyu dada anachofanya kwakweli , ukichanganya na hicho kisauti najikuta mi ndio naona aibu

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Acheni wivu nyie,muanze kulalamika video za hiphop za marekani zinapigwa zikionyesha wasichana wamevaa chupi tu na kucheza.

Si mbadilishe channel kama mnakwazika.kile kipind kina eleza maisha yake ya kila siku na zile nguo ndio anavaa karibia kila siku.

Kama mnakwazika msiangalieee ajalazimishwa mtu

Sasa kama kinaonyesha maisha yake ya kila siku kwa nini wanaweka kivuli kwenye manyoyo si wayaachie tu.!
 
Lakini hapa si Marekani!
 
tunao watoto na wazazi pia ...bahatimbaya remote ikazngua dk 1 c haibu zile...yule dada anajitoaga ufahamu yaan !!
 
Acheni wivu nyie,muanze kulalamika video za hiphop za marekani zinapigwa zikionyesha wasichana wamevaa chupi tu na kucheza.

Si mbadilishe channel kama mnakwazika.kile kipind kina eleza maisha yake ya kila siku na zile nguo ndio anavaa karibia kila siku.

Kama mnakwazika msiangalieee ajalazimishwa mtu

Sasa kama kinaonyesha maisha yake ya kila siku kwa nini wanaweka kivuli kwenye manyoyo si wayaachie tu.!

Mkuu idawa Asante sama nilitaka kumjibu hivi Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Wako kibiashara.
Ana mkwanja analipa ...
Wao hawajali kama ww hukipendi.
 
Back
Top Bottom