Sasa kwanini wasirushe kabisa tu hiki kipindi???
Hapa unamaanisha nini!!!!!!!!!!!!
maana wasingerusha usingeweza kuyaona hayo matiti
Acheni wivu nyie,muanze kulalamika video za hiphop za marekani zinapigwa zikionyesha wasichana wamevaa chupi tu na kucheza.
Si mbadilishe channel kama mnakwazika.kile kipind kina eleza maisha yake ya kila siku na zile nguo ndio anavaa karibia kila siku.
Kama mnakwazika msiangalieee ajalazimishwa mtu

tunao watoto na wazazi pia ...bahatimbaya remote ikazngua dk 1 c haibu zile...yule dada anajitoaga ufahamu yaan !!
Acheni wivu nyie,muanze kulalamika video za hiphop za marekani zinapigwa zikionyesha wasichana wamevaa chupi tu na kucheza.
Si mbadilishe channel kama mnakwazika.kile kipind kina eleza maisha yake ya kila siku na zile nguo ndio anavaa karibia kila siku.
Kama mnakwazika msiangalieee ajalazimishwa mtu
Sasa kama kinaonyesha maisha yake ya kila siku kwa nini wanaweka kivuli kwenye manyoyo si wayaachie tu.!
..ni kweli yangeonekana vipi? na yameonekana na hamna cha ajabu..
hata hakina maana hicho kipindi sijui ana mav kichwani
mmhm..bibiye unaponda!!!