Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Zuchu kawa mkweli , ni ukweli mchungu Sana , huwez kulitatua tatizo Kwa kuvunga kama halipo , lazima ukubali uwepo wa tatizo ndo utapata nguvu za kulishughulikia
Mpaka anaacha mziki tatizo la kutojaza show za marekani hatoweza litatua
 
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo






View attachment 2421250

Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia
Aache uchawa kwa watawala itamsaidia
 
As I'm crying and sobbing right now[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom