Show your hand writing (Mwandiko)

Ukinipa nisome nilichoandika hata mimi wakati mwingine napata tabu kujua nilimaanisha Nini.Ngoja niutafute muandiko wa babu yangu .Mwandiko wake sidhani Kama unafanana na mtu yoyote duniani humu.
 
Nilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa πŸ’„ kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…