Ngoja niandikeLimwandiko la hovyo
View attachment 3239053
πππ wangu mbaya ila huu hapana aisee ephen_
Mkuu hakuna mwandiko hapo ila muhimu unasomeka vizuri tuπ€£π€£π€£
Unatak kusema mwandiko wangu mbay kuzidi wa Half americanMkuu hakuna mwandiko hapo ila muhimu unasomeka vizuri tuπ€£π€£π€£
Yote mizuri tu ila wa jamaa upo mature zaidi. Yani wa mtu mzoefu wa kuandika mara kwa mara.Unatak kusema mwandiko wangu mbay kuzidi wa Half american
Sasa mimi naandika wapi mkuuYote mizuri tu ila wa jamaa upo mature zaidi. Yani wa mtu mzoefu wa kuandika mara kwa mara.
Ninvyopima unaweza fikiri naandika vizuri zaidi yenu basiπ π πSasa mimi naandika wapi mkuu
Embu andika tuoneNinvyopima unaweza fikiri naandika vizuri zaidi yenu basiπ π π
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. ππ
Hannah

Bora umesemaAcha porojo, andika
Mwandiko mbayaaa kinyama