Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbona ana mwandiko mzuriHana lolote labda umempenda yeye na co mwandiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ana mwandiko mzuriHana lolote labda umempenda yeye na co mwandiko.
Ngoma kali sana huwa naisikiliza mara kwa mara.View attachment 2045544
Mwandiko wa baharia hubadilika na mood nikichoka naandika kama doctor[emoji23]
Upo darasa la ngapi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hmmm!![emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Upo darasa la ngapi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu itakuwa amejaribu kutumia mashoto. Ila sio mwandiko wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hata mimi nimeona hivyo.Huyu itakuwa amejaribu kutumia mashoto. Ila sio mwandiko wake.
Una mwandiko mzuri jamani mweeeI do remember the old me[emoji7]View attachment 2045247
Sijaufikia wako.Una mwandiko mzuri jamani mweee
Kijeruman
Huyu itakuwa amejaribu kutumia mashoto. Ila sio mwandiko wake.
Kamwandiko kabayaaaaaaa!August,2020.
Naenjoy zaidi kuandika kwenye plain paper kuliko karatasi yenye mstari.View attachment 1856431
#Handwriting
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwangu hata mimi mwenyewe huwa unanisumbua nikianza kusoma baadae...naanza kujiuliza hivi hapa niliandika nini?Aisee...mwandiko wangu haukuwahi kueleweka hata na mama yangu aliyejaribu kunifundisha kuandika,naamini ni mungu tu ndiyo anayeelewa muandiko wangu,mwandiko unaeleweka tu pale kwenye kufanya calculation mbali na hapo ni majanga,sijajua mabaraza ya mitihani walisahihisha vipi ule muandiko...kitu ninachokipenda kwenye muandiko wangu ni sahihi yangu na kuandika namba Basi...
Kabayaaaaaaaaa mno.....!I do remember the old me[emoji7]View attachment 2045247