Talha
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 202
- 224
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna rafiki yangu mmoja alikua anaandikia mashoto aisee yule kaka[emoji119]
KafanyajeKuna rafiki yangu mmoja alikua anaandikia mashoto aisee yule kaka[emoji119]
Mwandiko wake sijawahi ona popote tena
Jmn,tutumiee basiMwandiko wake sijawahi ona popote tena
Mwandiko mzuri ajabu.
Nikipata nafasi ya kuwa karibu na zile daftari nitapiga picha.
Hana lolote labda umempenda yeye na co mwandiko.[emoji23]
Scars nimependa namna unaandika[emoji171].
Naomba kwa mwandiko huo uniandikie ujumbe wowote,hata jina langu tu[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc hebu kwani nitulizane.Weka tu na wako mdogo wangu[emoji4]
Woow [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ukiandika barua ya mapenzi, muhusika ana pizi kwa kutazama muandiko lolI do remember the old me[emoji7]View attachment 2045247