Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

La7b.....
IMG_20211216_085241_991~2.jpg
 
Aisee...mwandiko wangu haukuwahi kueleweka hata na mama yangu aliyejaribu kunifundisha kuandika,naamini ni mungu tu ndiyo anayeelewa muandiko wangu,mwandiko unaeleweka tu pale kwenye kufanya calculation mbali na hapo ni majanga,sijajua mabaraza ya mitihani walisahihisha vipi ule muandiko...kitu ninachokipenda kwenye muandiko wangu ni sahihi yangu na kuandika namba Basi...
Wa kwangu hata mimi mwenyewe huwa unanisumbua nikianza kusoma baadae...naanza kujiuliza hivi hapa niliandika nini?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom