ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Ahsante love💛Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike,nimeupenda.![]()
Wengine sisi tunatembeza tu wino![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimeupenda wa kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante love💛Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike,nimeupenda.![]()
Wengine sisi tunatembeza tu wino![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Anne wewe me siufikii hata robo wakwako[emoji7][emoji91][emoji91]
Nikiwa mkubwa natamani niandike vizuri kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91]Dear Saint Anne usinicheke eeeh..!! View attachment 1857016
Wewe una mwandiko wa kike mzuri[emoji171][emoji23][emoji23]Anne wewe me siufikii hata robo wakwako
[emoji120]Mamii
Tubadilishane.Ahsante love[emoji169]
Mwenyewe nimeupenda wa kwako
I hope wimbo wenye hii tittle huwa unausikiliza!![emoji2]
Hiko Kitabu ni political economy,?Hapa nilikuwa mwaka wa 1, nilikuwa na tabia ya kuacha summary kwenye kitabu/daftari pindi nikimaliza kujisomea. Niliiacha hii summary kwenye kitabu cha rafiki yangu.
Juzi kati rafiki yangu alikuwa anafanya usafi huko kwake mara akakutana na hiyo summary akaamua kunitumia akiwa ananikumbusha jinsi tulivyokuwa tunapiga msuli(kujisomea) sumu/kifo(tulipenda kuuita hivi).
Baada ya kuniambia ''Oyaaa Mwifwa, mzee wa misuli sumu samari yako hii hapa kwenye Snell's yangu'' nikacheka sana, tukakumbushana mawili matatu about those old good days.View attachment 1856847
[emoji2]ah wapi kwa humu sidhani Kama kuna mtu anakufikia aisee[emoji122]Wewe una mwandiko wa kike mzuri[emoji171]
Mimi wangu si wa kike kabisa,haueleweki uko upande gani[emoji38].
Sent using Jamii Forums mobile app
I hope wimbo wenye hii tittle huwa unausikiliza!![emoji2]
AnatomyHiko Kitabu ni political economy,?
Hahaha hata wako ni wa kike love
Haha mkuu kama nilivyosema,bora mwenyewe nielewe maana huwa naandika haraka haraka sana.Daah hiyo Total ulifikiria nini kuikunja T na O hivyo
[emoji38]Hahaha hata wako ni wa kike love
ingekuwa inawezekana kweli kubadilishana basi ningekimbia mbio[emoji28]
Kuna watu wana miandiko yao humu ila wametulia nayo.[emoji2]ah wapi kwa humu sidhani Kama kuna mtu anakufikia aisee[emoji122]