Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

Mimi naona ledada anashika chat .
Anaandika mwandiko wa kike
emoji171.png
,nimeupenda.

Wengine sisi tunatembeza tu wino
emoji23.png


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante love💛
Mwenyewe nimeupenda wa kwako
 
Hapa nilikuwa mwaka wa 1, nilikuwa na tabia ya kuacha summary kwenye kitabu/daftari pindi nikimaliza kujisomea. Niliiacha hii summary kwenye kitabu cha rafiki yangu.

Juzi kati rafiki yangu alikuwa anafanya usafi huko kwake mara akakutana na hiyo summary akaamua kunitumia akiwa ananikumbusha jinsi tulivyokuwa tunapiga msuli(kujisomea) sumu/kifo(tulipenda kuuita hivi).

Baada ya kuniambia ''Oyaaa Mwifwa, mzee wa misuli sumu samari yako hii hapa kwenye Snell's yangu'' nikacheka sana, tukakumbushana mawili matatu about those old good days.View attachment 1856847
Hiko Kitabu ni political economy,?
 
Back
Top Bottom