Show your hand writing (Mwandiko)

Nimeona sifa anapewa mwanafunzi tu mwalimu nasahaulika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante dear.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi waanze na mwalimu..
Bila Mwalimu nisingefika hapa[emoji23].

Itabidi wakuletee watoto wao ili uwafundishe kama ulivyonifundisha[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, waniletee watoto wao. Lazima wawe na mwandiko mzuri bila kusahau adabu.

Ila una ka mwandiko katamu bhana[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…