Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

.
IMG-20210715-WA0002.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Mi nikawa bado naandika but kutoka ndani ya nafsi yangu nikajishuku kabisa "hata Kama ndio naandika jibu sahihi lakini kwa huu muandiko nitafika wapi"🤣
Nikaamua tu niweke kalamu chini nisijeleta mzozo na msimamizi ukizingatia muandiko wenyewe unatosha kabisa kunipeleka jehanam..!
 
Wengine naona mnaamua kuremba maandishi ili muonekane mna hati nzuri

Mwandiko wa mtu utaugundua tu kwa kuangalia spidi aliyotumia kuandika (inagundulika vizuri tu)

Kama ametumia muda mwingi kuremba basi anaigiza tu ila kama anaandika kwa haraka mfano notes basi huo wa kwake

Mnasifiana miandiko (hati) wakati tulishaambiwa wenye miandiko mibovu ndo wenye akili!![emoji38][emoji28][emoji23]

Sijasema kitu kwa mlioonesha hati nzuri zilizorembwa msije mkanilisha maneno tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana speed yako ya kuandika ni ndogo sana. Na ukiongeza speef huenda muandiko ukabadilika baangalia herufi zako zilivyo na madoido. Mfano kana una maandishi mengi kama daftari za notes tuma tuone.
Bahati mbaya mwandiko wangu huwa haubadiliki ,iwe speed kubwa au ndogo.

Speed yangu ni ya kawaida,na kwa masomo niliyosoma,bila speed nisingetoboa.

Daftari kwa Sasa Sina mkuu ningekuonyesha ninachokisema,Mungu akijaalia uzima December nitakuwa sehemu zilipo daftari zangu za notes .
Kule selfika nishawahi kuweka picha ila sina hakika sana kama sikuifuta picha maana watu walianza discuss yale niliyoandika kwenye notes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Mi nikawa bado naandika but kutoka ndani ya nafsi yangu nikajishuku kabisa "hata Kama ndio naandika jibu sahihi lakini kwa huu muandiko nitafika wapi"[emoji1787]
Nikaamua tu niweke kalamu chini nisijeleta mzozo na msimamizi ukizingatia muandiko wenyewe unatosha kabisa kunipeleka jehanam..!
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Mi nikawa bado naandika but kutoka ndani ya nafsi yangu nikajishuku kabisa "hata Kama ndio naandika jibu sahihi lakini kwa huu muandiko nitafika wapi"🤣
Kuna watu tuna miandiko mibaya kama bata kapita. Ashukuriwe aliyegundua computer na printer
Kabisaa🤣
Nikaamua tu niweke kalamu chini nisijeleta mzozo na msimamizi ukizingatia muandiko wenyewe unatosha kabisa kunipeleka jehanam..!
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom