Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana speed yako ya kuandika ni ndogo sana. Na ukiongeza speed huenda muandiko ukabadilika naangalia herufi zako zilivyo na madoido. Mfano kana una maandishi mengi kama daftari za notes tuma tuone.Lord of Jacob [emoji7][emoji120]View attachment 1856432
#Saint Anne
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Wewe inaonesha umesoma (umebobea) Sayansi... i.e Physics Chemistry Biology etcSina mwandiko constant, huu nikiwa naandika taratibu. Nikiwa naandika haraka haraka unakuwa mbaya sanaView attachment 1856252
Mr Miller umelike comment yangu ndo nimekumbuka ya kuwa wewe ndie ulie andikiwa naomba unikumbushe jina lakeKuna dada anamwandiko mzuri humu alitikisa sana jukwaa la MMU nadhani anaitwa.... Jina lake linaanza na B... Mwendelezo ndio sikumbuki alimwandikia mpenzi wake humu kwa kizungu kitamu
Bahati mbaya mwandiko wangu huwa haubadiliki ,iwe speed kubwa au ndogo.Inaonekana speed yako ya kuandika ni ndogo sana. Na ukiongeza speef huenda muandiko ukabadilika baangalia herufi zako zilivyo na madoido. Mfano kana una maandishi mengi kama daftari za notes tuma tuone.
[emoji23]Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Mi nikawa bado naandika but kutoka ndani ya nafsi yangu nikajishuku kabisa "hata Kama ndio naandika jibu sahihi lakini kwa huu muandiko nitafika wapi"[emoji1787]
Nikaamua tu niweke kalamu chini nisijeleta mzozo na msimamizi ukizingatia muandiko wenyewe unatosha kabisa kunipeleka jehanam..!
🤣🤣🤣Nilishaga jishuku mwenyewe hata kwenye chumba Cha mtihani msimamizi akasema kalamu chini
Mi nikawa bado naandika but kutoka ndani ya nafsi yangu nikajishuku kabisa "hata Kama ndio naandika jibu sahihi lakini kwa huu muandiko nitafika wapi"🤣
Kabisaa🤣Kuna watu tuna miandiko mibaya kama bata kapita. Ashukuriwe aliyegundua computer na printer
Nikaamua tu niweke kalamu chini nisijeleta mzozo na msimamizi ukizingatia muandiko wenyewe unatosha kabisa kunipeleka jehanam..!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiona mwandiko wa Saint Anne na wangu, tukioana nadhani tutaachana ndani ya wiki