nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
KUna watu wanaweza kutumia handwriting ya mtu wakamloga au wakasoma nyotaye au wakamtabiria nini ki mbeleniyeTuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah