Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha..
Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.

View attachment 1857861
hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
KUna watu wanaweza kutumia handwriting ya mtu wakamloga au wakasoma nyotaye au wakamtabiria nini ki mbeleniye
 
Maghayo
The Mongolian Savage
Ghayo TheMongo Barbarian
BICHWA KOMWE -
20250217_203318.jpg
 
Back
Top Bottom