Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Hawa mashabiki zake vichwa maji hawataki kuliona hilo!
Wote tunapenda msanii wetu awe juu ila kwa upuuzi anaofanya+ majivuno kibao aaaagh
 
Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Ikipita miaka mitatu tena, utakuja kuandika tena diamond wa miaka miwili sio wa leo, wa miaka miwili alikua bora [HASHTAG]#MarkMyWord[/HASHTAG]
 
Nimefuatilia jamaa anatusua tu, nyomi za hatari kwenye show zote. Tena anajaza kuliko hata huku. Sasa sijui nawe ndo unataka kutumia huu uzi kumdondosha?
Wabongo bwana!
 
Hivi sold out huwa inamaanisha nini? Maana tusije tukawa tunasapoti vitu vya kkjingajinga tu hapa.... jifunze kusifia hata kile kidogo cha mwenzako sio kila mara uone ubaya tu.... isitoshe we hata kwny kikao tu cha familia huwa huitwi... mwenzako kakusanya wawili watatu tena nchi ya watu yenye wasanii wakubwa wa kila aina... leo we unamwona kaisha... duuh hapa kweli nami naungana na yule jamaa aliyekuita babu mwanga
 
Chuki

You will never be diamond, not even in your dream

Akishuka kimziki, anabaki na tv, recording studio na music label

Hata akina Lionel Ritchie na Mariah Carey wanakula walizoacha

You should not celebrate kuanguka Kwa mtu yoyote na hasa mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…