Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Hawa mashabiki zake vichwa maji hawataki kuliona hilo!Ninyi ndo wenye akili kama za JIWE mnaturudisha sana kama Tanzania nyuma. Mnachukia sana kukosolewa na kuambiwa ukweli utafikiri ninyi ni malaika. Kama mnampenda huyo jamaa yenu mwambieni hata mashabiki wake nao wamekua.
Mtu ashakuwa na familia, watoto na majukumu itakuwa ngumu sana kuendelea kushabikia madrama ya ngono instagram ambao jamaa kawekeza sana.
Siku hizi hata Diamond Karanga hazifanyi vizuri kama zamani, hata Chibu perfume ndo imekufa kabisa.
Sasa kama kweli Mavoko naye kajitoa kwenye LABEL sijui jamaa anaelekea wapi !
Wote tunapenda msanii wetu awe juu ila kwa upuuzi anaofanya+ majivuno kibao aaaagh