Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Ninyi ndo wenye akili kama za JIWE mnaturudisha sana kama Tanzania nyuma. Mnachukia sana kukosolewa na kuambiwa ukweli utafikiri ninyi ni malaika. Kama mnampenda huyo jamaa yenu mwambieni hata mashabiki wake nao wamekua.

Mtu ashakuwa na familia, watoto na majukumu itakuwa ngumu sana kuendelea kushabikia madrama ya ngono instagram ambao jamaa kawekeza sana.

Siku hizi hata Diamond Karanga hazifanyi vizuri kama zamani, hata Chibu perfume ndo imekufa kabisa.

Sasa kama kweli Mavoko naye kajitoa kwenye LABEL sijui jamaa anaelekea wapi !
Hawa mashabiki zake vichwa maji hawataki kuliona hilo!
Wote tunapenda msanii wetu awe juu ila kwa upuuzi anaofanya+ majivuno kibao aaaagh
 
Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Ikipita miaka mitatu tena, utakuja kuandika tena diamond wa miaka miwili sio wa leo, wa miaka miwili alikua bora [HASHTAG]#MarkMyWord[/HASHTAG]
 
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Nimefuatilia jamaa anatusua tu, nyomi za hatari kwenye show zote. Tena anajaza kuliko hata huku. Sasa sijui nawe ndo unataka kutumia huu uzi kumdondosha?
Wabongo bwana!
 
Hivi sold out huwa inamaanisha nini? Maana tusije tukawa tunasapoti vitu vya kkjingajinga tu hapa.... jifunze kusifia hata kile kidogo cha mwenzako sio kila mara uone ubaya tu.... isitoshe we hata kwny kikao tu cha familia huwa huitwi... mwenzako kakusanya wawili watatu tena nchi ya watu yenye wasanii wakubwa wa kila aina... leo we unamwona kaisha... duuh hapa kweli nami naungana na yule jamaa aliyekuita babu mwanga
 
Ninyi ndo wenye akili kama za JIWE mnaturudisha sana nyuma kama WaTanzania. Mnachukia sana kukosolewa na kuambiwa ukweli utafikiri ninyi ni malaika. Kama mnampenda huyo jamaa yenu mwambieni hata mashabiki wake nao wamekua.

Mtu ashakuwa na familia, watoto na majukumu itakuwa ngumu sana kuendelea kushabikia madrama ya ngono instagram ambao jamaa kawekeza sana.

Siku hizi hata Diamond Karanga hazifanyi vizuri kama zamani, hata Chibu perfume ndo imekufa kabisa.

Sasa kama kweli Mavoko naye kajitoa kwenye LABEL sijui jamaa anaelekea wapi !
Chuki

You will never be diamond, not even in your dream

Akishuka kimziki, anabaki na tv, recording studio na music label

Hata akina Lionel Ritchie na Mariah Carey wanakula walizoacha

You should not celebrate kuanguka Kwa mtu yoyote na hasa mtanzania
 
Back
Top Bottom