Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Kijana nitakutoa roho,hadi namaliza likizo yangu mwezi February lazima niondoke naye naona vibaka wengi🤣namtaka mkeo tu basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana nitakutoa roho,hadi namaliza likizo yangu mwezi February lazima niondoke naye naona vibaka wengi🤣namtaka mkeo tu basi
Niko nchini mbezi rafiki🤣,hizo picha za muda tu.Hapa sasa hii cargo mpo nchi Gani hebu tuanzie hapa baharia!
usijali binti yanguOnyesha mfano
Huo ndio ukweli,hukupata riziki mwaka huu,Maana naona unatukasirikia tu ma matusi ya nguoni bila sababu,....Mimi sijakusabishia ugumu wa maisha unaopitia ndugu yangu unanionea bureekwamba mwakahuu mungu hajanipa riziki?siningeshakufa wee mtoto😁😁hivi unaakili kweli?
Hongera,una Cha kusimulia wajukuu uzeeniNiko nchini mbezi rafiki🤣,hizo picha za muda tu.
Hiyo sio yatch rafiki ni vessel.Hapo kwenye HIO yach au
Vingi sana na nina imani kila binadamu anayo ya kusimulia/kumbukumbu n.kHongera,una Cha kusimulia wajukuu uzeeni
Khaaa!!
Sawa sawa tajiri,Hiyo sio yatch rafiki ni vessel.
Tulia jichunguze utaelewa ninachokwambia.....Pole ,anyway So long as God is not from certain village,keep praying and asking for his mercy he will Grant you're portion ,I hope will regulate ur abusive moods.😁😁😁unakichwa kidogo sana.nakuambia tena mtoto anaenyimwa riziki anakufa SAWA?
We cherish memories 🥰Vingi sana na nina imani kila binadamu anayo ya kusimulia/kumbukumbu n.k
Niko na a lot of videos,ningekuwekea baadhi lakini ni ndefu,nyingine si sahihi kujiweka wazi rafiki.Sawa sawa tajiri,
Absolutely,ila lile la cruise ship tusiliache rafiki..😅We cherish memories 🥰
Tafuta mchongo basi nistue tusepe!nimeya google huko duniani ni mengi ni mazuri yaani ni kisanga!Absolutely,ila lile la cruise ship tusiliache rafiki..😅
Sawa tajiri kheri iwe kwako pia kheri ya Mwaka mpya 2024 in advanceNiko na a lot of videos,ningekuwekea baadhi lakini ni ndefu,nyingine si sahihi kujiweka wazi rafiki.
Heri ya msimu wa sikukuu.
Mnachokosea kukimbilia kwa company kubwa za cruise ,wabaguzi hao 🤣Tafuta mchongo basi nistue tusepe!nimeya google huko duniani ni mengi ni mazuri yaani ni kisanga!
🙏Sawa tajiri kheri iwe kwako pia kheri ya Mwaka mpya 2024 in advance
🤣🤣 huyo ndezi kachezea konde la maana