Show za kibabe

Bado hujasemaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji322]
 
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cool down mtoto inaonekana njaa inakutesa sana kiasi chakuhisi kilamtu nikama wewe.
Nyie wote mna njaa tu wewe na Joannah ndio maana mnabishana kama hamna njaa nitumieni vocha ya 5000 tu niaminiπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†. Heri ya mwaka mpya kwenu, hili bifu tumeliacha na kukizika rasmi mwaka jana.
 
Hahaaaaaa wanaboa sana na kwenye kila nyuzi wataitana na muanza upuuzi wao. Kuna mwamba mmoja aliyeleft group anaitwa mshamba_hachekwi ndio anawaitaga kwenye nyuzi hata ule wa Ally Dangote walivamia na kuanza kuitana my wanguπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚. Kaangalie kwenye uzi wa vita vya HAMAS na Israel wapo na wanaendeleza chats zao.
 
Hahaaaaa, acha kumchokoza mwanafunzi wa JF mzee wa kutinda nyusi mshamba_hachekwi
 
Mwaka mpya na mambo mapya
Hakuna, mambo ni yale yale πŸ˜‚

Kheri za mwaka mpya ziambatane nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…