Show za kibabe

Show za kibabe

f1fcbe7105e4b3765dad076e9a942523.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi utaharibika siyo muda yatajaa yale matoto ya hovyo yanayopenda kuitana sijui cuzzo, my wiii halafu hayatumi chochote zaidi zaidi ya kujadili maisha yao binafsi 24/7/365. Yamevuruga zile nyuzi za Selfika, Umevaa nini zimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Hovyo kabisa....​
Bado hujasemaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIPATA KIBALI CHA KUANZA MWAKA 2024

1.Hakikisha unazaliwa upya 2024.[emoji123]

2.Acha kuishi kwa mazoea.[emoji123]

3.Usiishi na kumbukumbu za waliokukosea 2023[emoji123]

4.Usiishi kwa kutegemea miujiza fanya kazi.[emoji123]

5.Usiogope kuchekwa unapojenga misingi ya kesho yako.[emoji123]

6.Liishi neno la Mungu na ongeza mahusiano na Mungu.[emoji123]

7.Tambua hakuna anayeweza kuyabadilisha maisha yako zaidi ya Mungu na wewe mwenyewe.[emoji123]

8.Jifunze kutoa Sadaka kamili inayofanana na ulivyobarikiwa,hii ndiyo njia pekee ya kuongeza baraka zako.[emoji123]

9.Ongeza muda wa Ibada kati yako na Mungu .[emoji123]

10.Using'ang'anie kuishi na watu ambao Mungu anajitahidi kukutenganisha nao.[emoji123]

11.Jitahidi uyaguse maisha ya wengine kwa wema. [emoji123]

12.Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo.[emoji123]

13.Jiandae na mabadiliko yoyote yanayoweza kuja/kutokea kwako,maana usipokubali kubadilika mwenyewe yatakubadilisha yenyewe utake usitake.
[emoji123]

14.Unapoweka malengo yako ya kimwili usisahau kujiwekea malengo yako ya kiroho.Usiishi kwa hasara kwa Mungu.Nk[emoji123]

Nakutakia kila la kheri 2024
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Mungu anabaraka na wewe jaribu kuipokeaView attachment 2858987

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji322]
IMG-20231231-WA0007~2.jpg
 
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cool down mtoto inaonekana njaa inakutesa sana kiasi chakuhisi kilamtu nikama wewe.
Nyie wote mna njaa tu wewe na Joannah ndio maana mnabishana kama hamna njaa nitumieni vocha ya 5000 tu niamini😀😃😄😁😆. Heri ya mwaka mpya kwenu, hili bifu tumeliacha na kukizika rasmi mwaka jana.
 
Huu uzi utaharibika siyo muda yatajaa yale matoto ya hovyo yanayopenda kuitana sijui cuzzo, my wiii halafu hayatumi chochote zaidi zaidi ya kujadili maisha yao binafsi 24/7/365. Yamevuruga zile nyuzi za Selfika, Umevaa nini zimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Hovyo kabisa....​
Hahaaaaaa wanaboa sana na kwenye kila nyuzi wataitana na muanza upuuzi wao. Kuna mwamba mmoja aliyeleft group anaitwa mshamba_hachekwi ndio anawaitaga kwenye nyuzi hata ule wa Ally Dangote walivamia na kuanza kuitana my wangu😀😃😄😁😆😅🤣😂. Kaangalie kwenye uzi wa vita vya HAMAS na Israel wapo na wanaendeleza chats zao.
 
Hahaaaaa, acha kumchokoza mwanafunzi wa JF mzee wa kutinda nyusi mshamba_hachekwi
 
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIPATA KIBALI CHA KUANZA MWAKA 2024

1.Hakikisha unazaliwa upya 2024.
[emoji123]

2.Acha kuishi kwa mazoea.[emoji123]

3.Usiishi na kumbukumbu za waliokukosea 2023[emoji123]

4.Usiishi kwa kutegemea miujiza fanya kazi.[emoji123]

5.Usiogope kuchekwa unapojenga misingi ya kesho yako.[emoji123]

6.Liishi neno la Mungu na ongeza mahusiano na Mungu.[emoji123]

7.Tambua hakuna anayeweza kuyabadilisha maisha yako zaidi ya Mungu na wewe mwenyewe.[emoji123]

8.Jifunze kutoa Sadaka kamili inayofanana na ulivyobarikiwa,hii ndiyo njia pekee ya kuongeza baraka zako.[emoji123]

9.Ongeza muda wa Ibada kati yako na Mungu .[emoji123]

10.Using'ang'anie kuishi na watu ambao Mungu anajitahidi kukutenganisha nao.[emoji123]

11.Jitahidi uyaguse maisha ya wengine kwa wema. [emoji123]

12.Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo.[emoji123]

13.Jiandae na mabadiliko yoyote yanayoweza kuja/kutokea kwako,maana usipokubali kubadilika mwenyewe yatakubadilisha yenyewe utake usitake.
[emoji123]

14.Unapoweka malengo yako ya kimwili usisahau kujiwekea malengo yako ya kiroho.Usiishi kwa hasara kwa Mungu.Nk[emoji123]

Nakutakia kila la kheri 2024
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Mungu anabaraka na wewe jaribu kuipokeaView attachment 2858987

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka mpya na mambo mapya
Hakuna, mambo ni yale yale 😂

Kheri za mwaka mpya ziambatane nawe
 
Back
Top Bottom