Show za kibabe

Show za kibabe

Mrudie Ex ama umuige mbwa kugalagala.

Me:
20231128_125725.jpg
 
Ukiona mwanaume anaparamia watu ambao hawana time nae,anatukanatukana na makasiriko ya bila sababu,tatizo kuu huwa ni njaa na kufeli mipango.....pole lkn jaribu kupambana 2024 Mola akupe riziki uache kuchukia watu bila sababu....Sorry I just can't help boy
hii dua yako ni wengi aisee
 
Huo ndio ukweli,hukupata riziki mwaka huu,Maana naona unatukasirikia tu ma matusi ya nguoni bila sababu,....Mimi sijakusabishia ugumu wa maisha unaopitia ndugu yangu unanionea buree
si umuambie ukweli tu kuwa ni magufuri😂😂....wanamsingizia tu mama wa watu
 
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UKIPATA KIBALI CHA KUANZA MWAKA 2024

1.Hakikisha unazaliwa upya 2024.[emoji123]

2.Acha kuishi kwa mazoea.[emoji123]

3.Usiishi na kumbukumbu za waliokukosea 2023[emoji123]

4.Usiishi kwa kutegemea miujiza fanya kazi.[emoji123]

5.Usiogope kuchekwa unapojenga misingi ya kesho yako.[emoji123]

6.Liishi neno la Mungu na ongeza mahusiano na Mungu.[emoji123]

7.Tambua hakuna anayeweza kuyabadilisha maisha yako zaidi ya Mungu na wewe mwenyewe.[emoji123]

8.Jifunze kutoa Sadaka kamili inayofanana na ulivyobarikiwa,hii ndiyo njia pekee ya kuongeza baraka zako.[emoji123]

9.Ongeza muda wa Ibada kati yako na Mungu .[emoji123]

10.Using'ang'anie kuishi na watu ambao Mungu anajitahidi kukutenganisha nao.[emoji123]

11.Jitahidi uyaguse maisha ya wengine kwa wema. [emoji123]

12.Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo.[emoji123]

13.Jiandae na mabadiliko yoyote yanayoweza kuja/kutokea kwako,maana usipokubali kubadilika mwenyewe yatakubadilisha yenyewe utake usitake.[emoji123]

14.Unapoweka malengo yako ya kimwili usisahau kujiwekea malengo yako ya kiroho.Usiishi kwa hasara kwa Mungu.Nk[emoji123]

Nakutakia kila la kheri 2024 [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Mungu anabaraka na wewe jaribu kuipokea
0ca34900d1e5fa29c51213c6a7d21ad9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom