Show za ughaibuni hazina mashabiki kwa wasanii wa bongo!!!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
habari wana jf,

naomba niwape pole kwa majukumu ya kulijenga taifa!!!!!!

nina imani kwama mu wa afya!!

ama baada ya salamu,

Lngo kuu hasa la kuleta uzi huu mbele zenu ni kuangazia wasanii wetu hasa wa muziki. kama kichwa cha habari kilivyojielelza, show nyingi sana wanazofanya huko nje ya nchi, achilia mbali kenya, uganda na mataifa mzunguko hapa Tz, naongelea huko ULAYA, bara ASIA na hata AMERICA.


--mbona show zao hazina mwamko wa wahudhuriaji? namaanisha mashabiki wa hawa wasanii wetu wanaoenda kufanya music shows nje ni akina nani?

-- mbona majukwaa wanayoyatumia si yale yenye viwango vya juu kama yatumikayo kwa wasanii kama chriss brown, michael jackson ama puff daddy?

-- hivi hasa soko la muziki etu likoje huko nje?

kwa mfano,

nimeangalia show ya diamond iliyofanyika malaysia kupitia youtube, nilitegemea kuona watu wengi saaana katika show hiyo, lakini mwisho wa siku, nimeona tu ukumbi mdooogo tu sijui wa watu wasiozidi mia moja, show haikua ya moto kama ilivyopigiwa promo na heaven on desert!!!

sasa je, huko china anakoelekea kuna mashabiki wa diamond ama anaenda kuburudisha 'watanzania waishio china'

hivi shilole nae si alinyonywa matiti alipoenda state? au aliishia tu kutembea na taulo kuelekea supermarket!!? na humo ndani ya SM kulitokea nini?


naomba tu jamani nito ushauri kiasi,
kwa maono tu ya haraka haraka, wasanii wengi wa TANZANIA hawana elimu!! from bongo flavour to bongo movie to bongo everything!!! wasanii kwanza wangeliangalia hili swala la elimu halafu ndio waendelee na muziki!!!!

nawasilisha!!

mimi minofu!!
 
Last edited by a moderator:
Naskia wanapigiaga show kwenye nyumba za watu afu jukwaa linakua ni meza ya kulia chakula zpo ndani
 
Naskia wanapigiaga show kwenye nyumba za watu afu jukwaa linakua ni meza ya kulia chakula zpo ndani

hii inawezekana!! show aliyofanya diamond pale malaysia haina mashiko!!

yani ni kama sebule ya mtu fulani hiviiii!! hebu jaribu kuingia youtube usachi diamond show in malaysia utaona!
 
Hawa jamaa wasanii wa bongo wakija nje ya nchi ....mf hapa bangalore wanakuja as tourist hivyo music wanatupigia sisi wa tanzania visa hyo haiwaruhusu kufanya business.....kuna madj wana organise event,unakodiwa ukumbi au club afu show inapigwa
 
Nasikia ni Remmy Ongala pekee aliyevunja rekodi ya kufanya shoo kubwa nje ya tz
 
Hawa jamaa wasanii wa bongo wakija nje ya nchi ....mf hapa bangalore wanakuja as tourist hivyo music wanatupigia sisi wa tanzania visa hyo haiwaruhusu kufanya business.....kuna madj wana organise event,unakodiwa ukumbi au club afu show inapigwa

hapana mkuu!!!!

kweli hawa jamaa wananojaza dar live pamoja na maisha club?

halafu wakija huko waje kama watalii tu?

mbona sasa diamond anaenda kuaibika china!!!!!
 
Diamond kwa show za nje bila million 15 mwwche kama ulivyomkuta..na kama show yako haihusish kujaza watu hilo nalo ni tatizo hata kama una cash humchukui.
huo ndio utaratibu wake kulinda status.
keshakataa show nyingi tu za watu kama hao.
na application anapata kila uchwao.ni yeye tu kuchagua wapi aende.
OVER.
wabishi mnakalibishwa
 
hii inawezekana!! show aliyofanya diamond pale malaysia haina mashiko!!

yani ni kama sebule ya mtu fulani hiviiii!! hebu jaribu kuingia youtube usachi diamond show in malaysia utaona!

Wacha uongo we mtu.
kwanza dau la Diamond ni million 15 halipungui kama bei ya super market.
so ingekuwa watu hawajai ama ni kwenye club kama unavyopotosha nani angekubali .
kula hasara ya mihela yote hiyo wakati anajua haitarudi?
 
I
hapana mkuu!!!!

kweli hawa jamaa wananojaza dar live pamoja na maisha club?

halafu wakija huko waje kama watalii tu?

mbona sasa diamond anaenda kuaibika china!!!!!

Naongea hivi kwasababu nauhakika na ninacho kisema wamekuja wasanii wengi mkuu kama quick,prof j,ay,tid,mr blue,diamond nk ...... show inakuwa organised na wabongo wanaoishi huku bnglr km diamond alipo kuja alitaja kiasi gani anataka per show anadakishwa chake mwisho wa siku anatupa burudan........wanakuja as tourist hawajafika level za kimataifa mpaka kulipa ushuru km wakina guetta,jay z, lil wayne hawa wanakuja kibusiness na lazima walipe ushuru ....... wabongo wanao kuja huku wana kuja na tourist visa na ndo maana huwezi kuwatangaza redio au tv zaidi ya blogs na websites
 
Kwani ata akifanya Chooni kwa mtu mwisho wa siku si hela inaingia? We utabaki hapo hapo unabwabwaja!
 

sasa p.imbi 2nazungumzia khs kujaza ukumi ha2zungumzii hela ya show.kulipwa ml15 co kpmo cha kujaza wa2...,ata mm naweza kumpa huo mpunga akaja kugonga show sebuleni kwangu
 

cc heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
hoja co hela kuingia...,hoja ni kujaza wa2 km ambavo kina d banj wanavokulaga shazi

na hiyo ndiyo point!

mbona akina p square and so others, wakija bongoland wanajaza watu mpaka nafasi zinakosa?

does this mean that diamond and others are just local music mongers?

ommy dimpoz juzi ametoa ushahidi kwamba show za ndani zinalipa kuliko za nje!!!! unaionaje hii???

yani msanii katoka marekani kwa tour ya wiki nne halafu anatoa kauli kama hiyo! hii ni dalili tosha kwamba wakienda ughaibuni wanawaburudisha 'waswahili wenzao' tu! na si vinginevyo!

nimesema!!!
 
https://www.youtube.com/watch?v=A1J9y5OiEs8&feature=youtube_gdata_player

Hii ya daimond akiwa huko malaysia kwa idadi hii ya watu kweli mziki wetu bado haujapenyeza sana huko ng'ambo

niliiona hii show mpaka nikashangaa!!

sasa we Heaven on earth unasema bila milioni 15 huyu jamaa hafanyi show nje,

sasa naomba uueleze umma..

diamond gharama za jumla anatumia/ama anato wapi? je ni kutoka ndani ya hiyo mil 15?

crew yooote uliyoorodhesha inalipwaje? je yeye mwenyewe anabaki na net income kiasi gani?
heaven on desert njoo ueleze hapa!! la sivyo sitaona faida ya diamond kwenda guangzhou!

nimesema!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…