Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna bainadam wanajiona wa maan na wa thamani humu!!!!
bado nipo nipo kwanza
Naskia wanapigiaga show kwenye nyumba za watu afu jukwaa linaua ni meza ya kulia chakula
Duh! Acha uongo
kuna mmoja alitangaza sana anaenda kupiga show majuu na bwembe kibao,kafika hata hela ya hoteli hana kaishia kulala ubalozini na mchango juu ili arudi,na alivyo na jina huwezi amini
you made ma day
Na mwingine nimemuona leo Earth on heaven nikachoka.
Kwa usumbufu ninaoona unaupata hapa jukwaani, mimi ningekuwa wewe ningekuwa nimeshaibadilisha siku nyingi sana.
Inaonekana wewe ni mvumilivu sana.