nje ya hayo masihara kiukweli umenisaidia sana, nilikuwa sujui kupika kabisaaa, nilichokuwa nakijua ni kupika ugali tu....kupitia wewe sasa hivi mi ni moto wa kuotelea mbali...asante kwa hilo....sema tu kuna vitu vingine uwa sivielewi na huwa napata tabu kuvitafuta kwa kiswahili.....
Usijali....kama vitu gani huvielewi?
thom sijui ndo nini na shrimp
Ulijuaje? Nawapenda sana wadudu hawa
hii recipe yako nitaifanyia kazi weekend ijayo, nitapika na kula kwa nafasi.
That is so kind of you...shukrani.Uliniomba kuna siku niweke recipe ya chinese fried rice...ndio nkaamuwa kuweka hii
That is so kind of you...shukrani.