- Thread starter
- #61
nje ya hayo masihara kiukweli umenisaidia sana, nilikuwa sujui kupika kabisaaa, nilichokuwa nakijua ni kupika ugali tu....kupitia wewe sasa hivi mi ni moto wa kuotelea mbali...asante kwa hilo....sema tu kuna vitu vingine uwa sivielewi na huwa napata tabu kuvitafuta kwa kiswahili.....
Usijali....kama vitu gani huvielewi?