Shrimp fried rice

Shrimp fried rice

nje ya hayo masihara kiukweli umenisaidia sana, nilikuwa sujui kupika kabisaaa, nilichokuwa nakijua ni kupika ugali tu....kupitia wewe sasa hivi mi ni moto wa kuotelea mbali...asante kwa hilo....sema tu kuna vitu vingine uwa sivielewi na huwa napata tabu kuvitafuta kwa kiswahili.....

Usijali....kama vitu gani huvielewi?
 
farkhina umenkumbuka home.
Yaaani jumapili ndo msosi huo ila sie tunachanganya wali,mayai na sausage pembeni tomato ketchup.
Mama weee full kujipanga jikoni.
Yaaani nimepakukumbuka kweli home
 
Last edited by a moderator:
farkhina umenkumbuka home.
Yaaani jumapili ndo msosi huo ila sie tunachanganya wali,mayai na sausage pembeni tomato ketchup.
Mama weee full kujipanga jikoni.
Yaaani nimepakukumbuka kweli home

Hahahahahahah pole sana...
 
Last edited by a moderator:
Ulijuaje? Nawapenda sana wadudu hawa
hii recipe yako nitaifanyia kazi weekend ijayo, nitapika na kula kwa nafasi.
 
Ulijuaje? Nawapenda sana wadudu hawa
hii recipe yako nitaifanyia kazi weekend ijayo, nitapika na kula kwa nafasi.

Uliniomba kuna siku niweke recipe ya chinese fried rice...ndio nkaamuwa kuweka hii
 
  • Thanks
Reactions: bht
So shrimp ndo wale prawns sio?

Tuseme hii ni kama Chinese rice enheee?

Mi napenda sana wali wa kamba
 
Back
Top Bottom