Mahitaji
Mchele kg 1
Shrimp
Kitunguu maji 2. .kata chembamba
Thomu 1teaspoon
Tangawizi 1teaspoon
Mixed vegetablea
Mayai 2-3
Bizari ya pilau 1teaspoon..
Mafuta ya kupikia
Chumvi kiasi
Namna ya kutaarisha
1)Osha mchele wako na upike wali kama wa kawaida tu..then weka pembeni ila usiwive sana
2)kaanga shrimp weka pembeni...
3)kaanga yai ila lisiwive koroga koroga liwe kama bichi weka pembeni
4) kaanga kitunguu maji kikikaribia kuwa brown weka thomu,tangawizi,na uzile
5)weka mixed vegetable
6)weka yai pamoja na shrimp na chumvi
Changanya then koroga kwa dakika 5
7)mimina wali wako ambao umechemsha hapi awali na uchanganye vizuri
Shrimp fried rice tayari kwa kuliwa.....