Shrimp fried rice

Shrimp fried rice

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji
Mchele kg 1
Shrimp
Kitunguu maji 2. .kata chembamba
Thomu 1teaspoon
Tangawizi 1teaspoon
Mixed vegetablea
Mayai 2-3
Bizari ya pilau 1teaspoon..
Mafuta ya kupikia
Chumvi kiasi

Namna ya kutaarisha
1)Osha mchele wako na upike wali kama wa kawaida tu..then weka pembeni ila usiwive sana
2)kaanga shrimp weka pembeni...
3)kaanga yai ila lisiwive koroga koroga liwe kama bichi weka pembeni
4) kaanga kitunguu maji kikikaribia kuwa brown weka thomu,tangawizi,na uzile
5)weka mixed vegetable
6)weka yai pamoja na shrimp na chumvi
Changanya then koroga kwa dakika 5
7)mimina wali wako ambao umechemsha hapi awali na uchanganye vizuri

Shrimp fried rice tayari kwa kuliwa.....
1384788832696.jpg
 
Chakula hiki kizuri kwa kina sie tunaohitaji express food after a long day at work!healthy and easy to make....ahsante mamiii

Yeah tena wajua huwo wali unaweza uupike day before kupika shrimp fried rice.....unahifadhi kwenye friji....
U welcome kipenzi...
 
MashaAllah, we mwana unantoa udenda. Hapo upate na soy source kwa mbaaali, mnhhhhh, mate hayooo.

Hahahahahaa....uwe na saladi pembeni FaizaFoxy inapendeza zaidi..mie nimetengeza saladi ya haraka haraka hii apa
 

Attachments

  • 1384791274259.jpg
    1384791274259.jpg
    88.1 KB · Views: 219
Last edited by a moderator:
Dah! Yaani ndo nimetoka kupata House Fried Rice (shrimp, chicken, na pork) sasa hivi. Ni leftover ya Jumamosi kutoka Chin Chin.

House%20Special%20Fried%20Rice1.jpg
 
Back
Top Bottom