Shrimp fried rice

Shrimp fried rice

Asante bibie farkhina. Huu upishi mie nautumia kupasha kiporo cha ubwabwa. Na hapo kwenye vitunguu naongeza na vile viteke vyenye majani (baby onions).
 
Last edited by a moderator:
I have to kwa kweli wali
Nitaweka kwa rice cooker lol wa sufuria utaungua

Kwanini uungue weka moto mdogo mdogo.....
Mwenzenu sijui ushamba umenizidi sipendi kupikia rice cooker..
 
Asante bibie farkhina. Huu upishi mie nautumia kupasha kiporo cha ubwabwa. Na hapo kwenye vitunguu naongeza na vile viteke vyenye majani (baby onions).

Yeah....shukran shosti...
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa pishi bi dada, kuna tatizo kama mchele hautapikwa kidogo kwanza? Hatua ya 2, shrimps wanakaangwa kwenye mafuta? Deep fry au mafuta kidogo yafaa?
 
Asante kwa pishi bi dada, kuna tatizo kama mchele hautapikwa kidogo kwanza? Hatua ya 2, shrimps wanakaangwa kwenye mafuta? Deep fry au mafuta kidogo yafaa?

Yeah ukiwa haujaupika mwanzo utakua hauwivi vizuri better uupike kwanza hata day before....shrimp kaanga kwa mafuta kidogo tu....
 
Acha hizo sie wavivu ndo twatumia rice cooker

Ahhhahahahhaha sio uvive shosti mama yeye anazo mbili moja apikia mchuzi lol huwa nacheka nkimuona na upishi wake mwenyewe...
 
Ahhhahahahhaha sio uvive shosti mama yeye anazo mbili moja apikia mchuzi lol huwa nacheka nkimuona na upishi wake mwenyewe...

ha hahaaaaaaa! as long msosi unatoka poa i really dont care will do weekend, msaada mkubwa hapa aisee we learn mambo kibao
 
ha hahaaaaaaa! as long msosi unatoka poa i really dont care will do weekend, msaada mkubwa hapa aisee we learn mambo kibao

Yeah yanini kujipa shida wakati raha zipo...
 
we dada kwenye mapishi unavyonikoshaga...... naweza siku nikajikuta nimeKUPM bahati mbaya
 
Ahhahahaaha sawa...

nje ya hayo masihara kiukweli umenisaidia sana, nilikuwa sujui kupika kabisaaa, nilichokuwa nakijua ni kupika ugali tu....kupitia wewe sasa hivi mi ni moto wa kuotelea mbali...asante kwa hilo....sema tu kuna vitu vingine uwa sivielewi na huwa napata tabu kuvitafuta kwa kiswahili.....
 
Back
Top Bottom