Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?



Hicho ni kitabu kilitungwa miaka zaidi ya 20 kinachozungumzia juu ya hiyo sanda (The shroud of Turin) isitoshe kinazungua safari ya Yesu na kaburi lake lilipo leo hii. Yesu hakupaa juu mbinguni kama jinsi watu leo wanavyoelewa KIMAKOSA.
 
Hii ni nyuzi nyingine mkuu inaitaji uzi wake ngoja tuundae,
πŸ˜…πŸ™Œ
ila Nina uhakika wale wezi wawili walio kuwa pembeni ya Yesu Walikuwa ni M'Berzeq ( Chinese) na Mu Western
 
Mtoa mada hajahitimisha mshaanza kuleta ujuaji ndo maana mitihani watu wanafeli kwa kutoelewa maswali.

Ngoja amalize kwanza..Maana tunaona sanda kabisa ila vijana wa paulo wanavalishana masuti meusi kama wachawi.
 
Tama
Tamaduni za kiyahudi tu. Sanda sio ya waislam peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…