Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Ungana na mtoa mada muuze simu chap mtajirike..
Muwe na mahelaaa kama sie wauza mchicha..
Mkishindwa mje kwenye mchicha. Mchicha unalipa sanaaa ni vile hujui tu..😀😀😀
haha! ukiisha kuwa muuza mchicha mashuhuri, nitakuwa nachukua mzigo kwako kupeleka china ...

Simu kweli zinafaida ila soko limevamiwa, faida sio kama zamani, au ndio uwe na mzigo mkubwa usubiri iPhone 16 zitoke utajirike hadi uitwe freemasons..
 
Shauri yako, sahivi soko langu lishasambaa sub saharan countries, soon tu nafika World wide. We kaa hapo upishane na utajiri..😄😄

Limevamiwa? Au wauzaji wengi
Njoeni na kwenye mchicha bado hatuko wengi..
 
Wacha weee.. hata Mo anauza pipi, najua muuza mchicha itakuwa bora zaidi.. nataka tani kadhaa nipeleke Australia basi... tajiri michicha

Walanguzi wamekuwa wengi wa simu, machaka yapo wazi wazi, faida ya simu zipo kwa flagship kama hivi iPhone 14, 15 na hiyo inaenda 16 sio waranguzi wengi wanamudu.. ila hizi zingine faida ndogo sana na na wauzaji wengi sana na wengi tayari sana smarphone phone..
 
Itakuwa zinalipa ndio maana hawaachi kuuza.. I mean biashara haipotezi mtaji
 
Mkuu, mfano samsung A15, A14 faida inaweza kuwa ngapi kwa piece
 
Itakuwa zinalipa ndio maana hawaachi kuuza.. I mean biashara haipotezi mtaji
wapo wanaojitoa , kuna mtu alikuwa ananiuzia simu toka 2020 sasa hivi kaamia kuuza yebo yebo na vifaa vya stationary na soksi.. anasema huko anapata faida kuliko simu.. kuna siku nilitaka na mie nijaribu akanichana live.. na amekuwa kwenye game toka 2014.. au tuuze na sie yebo yebo na mchicha.. hahaha

yebo yebo anatengeza sana faida.. anachukua mzigo mkubwa sana from china anapeleka usukumani hukoo na mikoa mingine..
 
Back
Top Bottom