Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Mkuu, mfano samsung A15, A14 faida inaweza kuwa ngapi kwa piece
hizi unachukua kwa unit, inategemea soko la china au dubai.. kuna simu kwa piece moja unapata faida hadi laki na nusu na kuendelea kama flagship za iPhone.. kwa hizo A15 au A14 inaweza chezea kuanzia 40-60k. Sina zuoefu sana nilitaka anza fanya hiyo biashara nilivyopata hali ya soko nikarudi nyuma.. ila kama una msuli deal na iPhone tu lazima uwe tajiri
 
Ahaaaa kumbe hata hizo 40-60 sio mbaya, hapo ukiuza simu 2 tu kwa siku upo mbali
 
Mambo ya matikiti heka moja unapata million 20,,,kuna Ka fursa kanatafutwa hapa umakini ni Jambo Muhimu mnoo Kwa Ulimwengu wa Sasa wa Sayansi na Teknolojia,,###Maoni###
 
Ohoooo......

Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie......
Kama umepata location nzuri
Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
Kwa kifupi electronics devices zina pesa kwa sababu wabongo wengi Bado washamba WA ivyo vitu yaani unauza different prices kwa Kila mteja
 
haha! ukiisha kuwa muuza mchicha mashuhuri, nitakuwa nachukua mzigo kwako kupeleka china ...

Simu kweli zinafaida ila soko limevamiwa, faida sio kama zamani, au ndio uwe na mzigo mkubwa usubiri iPhone 16 zitoke utajirike hadi uitwe freemasons..
Hakuna biaahara isio kuwa na Faida, kuna watu wana fanya biasbaea ya kunyonya vinyesi kwenye vyoo vya watu na wao wanapata Faida, kaaminisheni wajinga kwamba biashara yenye faida ni ya kuuza simu.Pia mnataka wote watafute frame wauze simu? Taifa la wajinga sana hili
 
Back
Top Bottom