Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Shtuka biashara ya simu inatajirisha

Kwa kifupi electronics devices zina pesa kwa sababu wabongo wengi Bado washamba WA ivyo vitu yaani unauza different prices kwa Kila mteja
Ni nini maana ya faida? na kwani waranya biasbara wengine hawapati faida? kuna mtu anaweza kukuelezea Faida kwenye kilimo cha machungwa ukashangaa, mwingine atakuja na story za faida kwenye mgahawa wake wa chakula ukashangaa sana.
 
licha ya kuwa hii biashara inatajilisha ukitaka kuifanya kama real business yako jiandae na vitu hivi viwili
1. Mtaji uwe kuanzia 3M
2. Kupata dead stock nazungumzia simu mbovu sasa hii inakuwa imekula kwako mfano unaweza agiza mzigo maan kwenda kuchukua ni ngumu ukaletewa mali haisomi lain
 
Nipo dodoma kumsalimia bro wangu.... Ni fundi simu tu, ila huwezi amini analaza 200k per day as profit🤔

Akikosa 100k+

(Huenda ni kweli inshu za simu zinalipa sana
 
Nipo dodoma kumsalimia bro wangu.... Ni fundi simu tu, ila huwezi amini analaza 200k per day as profit🤔

Akikosa 100k+

(Huenda ni kweli inshu za simu zinalipa sana
Inawezekana coz wa tz wengi ni wazembe mno... utaskia mara kakalia simu imevujia wino, au alimuachia mtoto acheze game akaiangusha, system charges imekufa,

Kwa style hii 👆🏻 acha bro atajirike
 
Angalizo hapa ni KAMA inawezekana epuka simu used, unaweza upige faida ya 300k kwa week, halafu yote ikarudi ground kwa hasara moja tuu, kumbe ulichomekewa famba,

Pia kwa namna flani inakufanya upoteze trust, simu unajua ina shida ila unampamba mteja anunue, hapa shida inakuja humjui mteja vzr, unakutana na mtu hawezi kupotezea akaamua kukuchukulia hatua nzito.
 
Back
Top Bottom