stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Makuz tunatofautianaUmemaliza kutajirisha ukoo wenu? 😁
Huku JF hukuambiwa wote ni ma rich people? 😀😀
Ya ukoo wenu au huku JF?Makuz tunatofautiana
haha! utajiri sio matakooo kwamba kila mtu anayo... endelea kuuza mchicha wako uje kuwa Mo siku mojaUmemaliza kutajirisha ukoo wenu? 😁
Huku JF hukuambiwa wote ni ma rich people? 😀😀
Biashara ya simu ilikuwa zamani, sasa hivi imeingiliwa mkuu.. walioshtuka mapema ndio walitajirika chapOhoooo......
Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie......
Kama umepata location nzuri
Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
Ungana na mtoa mada muuze simu chap mtajirike..haha! utajiri sio matakooo kwamba kila mtu anayo... endelea kuuza mchicha wako uje kuwa Mo siku moja
haha! ukiisha kuwa muuza mchicha mashuhuri, nitakuwa nachukua mzigo kwako kupeleka china ...Ungana na mtoa mada muuze simu chap mtajirike..
Muwe na mahelaaa kama sie wauza mchicha..
Mkishindwa mje kwenye mchicha. Mchicha unalipa sanaaa ni vile hujui tu..😀😀😀
Shauri yako, sahivi soko langu lishasambaa sub saharan countries, soon tu nafika World wide. We kaa hapo upishane na utajiri..😄😄haha! ukiisha kuwa muuza mchicha mashuhuri, nitakuwa nachukua mzigo kwako kupeleka china ...
Simu kweli zinafaida ila soko limevamiwa, faida sio kama zamani, au ndio uwe na mzigo mkubwa usubiri iPhone 16 zitoke utajirike hadi uitwe freemasons..
Wacha weee.. hata Mo anauza pipi, najua muuza mchicha itakuwa bora zaidi.. nataka tani kadhaa nipeleke Australia basi... tajiri michichaShauri yako, sahivi soko langu lishasambaa sub saharan countries, soon tu nafika World wide. We kaa hapo upishane na utajiri..😄😄
Limevamiwa? Au wauzaji wengi
Njoeni na kwenye mchicha bado hatuko wengi..
Itakuwa zinalipa ndio maana hawaachi kuuza.. I mean biashara haipotezi mtajiWacha weee.. hata Mo anauza pipi, najua muuza mchicha itakuwa bora zaidi.. nataka tani kadhaa nipeleke Australia basi... tajiri michicha
Walanguzi wamekuwa wengi wa simu, machaka yapo wazi wazi, faida ya simu zipo kwa flagship kama hivi iPhone 14, 15 na hiyo inaenda 16 sio waranguzi wengi wanamudu.. ila hizi zingine faida ndogo sana na na wauzaji wengi sana na wengi tayari sana smarphone phone..
Mkuu, mfano samsung A15, A14 faida inaweza kuwa ngapi kwa pieceWacha weee.. hata Mo anauza pipi, najua muuza mchicha itakuwa bora zaidi.. nataka tani kadhaa nipeleke Australia basi... tajiri michicha
Walanguzi wamekuwa wengi wa simu, machaka yapo wazi wazi, faida ya simu zipo kwa flagship kama hivi iPhone 14, 15 na hiyo inaenda 16 sio waranguzi wengi wanamudu.. ila hizi zingine faida ndogo sana na na wauzaji wengi sana na wengi tayari sana smarphone phone..
ni kweli yani smartphone used dubai bei ya chini ni 55000 unakuja kuuza laki moja na elfukumiOhoooo......
Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie......
Kama umepata location nzuri
Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
Ungefafanua ikoje?Ohoooo......
Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie......
Kama umepata location nzuri
Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
wapo wanaojitoa , kuna mtu alikuwa ananiuzia simu toka 2020 sasa hivi kaamia kuuza yebo yebo na vifaa vya stationary na soksi.. anasema huko anapata faida kuliko simu.. kuna siku nilitaka na mie nijaribu akanichana live.. na amekuwa kwenye game toka 2014.. au tuuze na sie yebo yebo na mchicha.. hahahaItakuwa zinalipa ndio maana hawaachi kuuza.. I mean biashara haipotezi mtaji