BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ni nini maana ya faida? na kwani waranya biasbara wengine hawapati faida? kuna mtu anaweza kukuelezea Faida kwenye kilimo cha machungwa ukashangaa, mwingine atakuja na story za faida kwenye mgahawa wake wa chakula ukashangaa sana.Kwa kifupi electronics devices zina pesa kwa sababu wabongo wengi Bado washamba WA ivyo vitu yaani unauza different prices kwa Kila mteja
Nazungumzia kulipa,location mkuu ya biashara hizo. Ila zipo fresh na zinatoka vizuri sana
Dubai simu za mtumba refurb bei kitongaaTupe site ya kuzinunua hizo simu kama ni China au Dubei
Zinalipa mkuuNazungumzia kulipa,
Zinalipa ?
Tajiri naona unaturudisha darasaniTuambie risk margin
Inawezekana coz wa tz wengi ni wazembe mno... utaskia mara kakalia simu imevujia wino, au alimuachia mtoto acheze game akaiangusha, system charges imekufa,Nipo dodoma kumsalimia bro wangu.... Ni fundi simu tu, ila huwezi amini analaza 200k per day as profit🤔
Akikosa 100k+
(Huenda ni kweli inshu za simu zinalipa sana
Nimecheka sana mkuuAhsante kwa upendo mkuu..
Mapendo daima.. 🥰
HakikaNimebubujikwa na machozi ya furaha. Kuona mtanzania mwenzangu anatoa madini kama haya
Umejibu kimkakatiNimecheka sana mkuu