Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko la hisa nadhani average ni one pct5-20% ukiweka ktk soko la hisa pia waweza pata hasara.
Nimesema kwa mweziHiyo ni kwa mwaka
Matikiti, ndani ya mwaka we bilionea mkubwa kuzidi mo.kalime matikiti ndio biashara inayokufaaNimesema kwa mwezi
Nimesema kwa mwezi
Mkuu Faida ya 2 Milion kwa Mwezi unaweza kuipata ila nilazima uwe mpiganaji kweli kweli.Na Uwe Tofauti kabisa na wengine.Sasa swala la ni shghuli gani hapo Inategemea na wewe unataka kuanza kutengeneza Pesa Baada ya Muda Gani?Na Hii 20 M Umeipataje...Ila kwa Biashara kwa 20M zipo Biashara ambazo watu wanapiga hadi 50% Profit ila lazima Upambane kweli kweli.
Mkuu,Biashara anayoitaka haipo ya kudouble mtaji kila mwaka labda crypto.
Mtaji unavyozidi kuwa mkubwa na roi inapungua.
Mwenye mtaji wa 10000 kwa mwaka anaweza fikisha 100000 ama zaidi, ila mtaji ukiwa mkubwa zaidi roi inapungua sababu operations cost inaongezeka na competition
Mkuu unaweza kushare uzoefu au mifano ya bishara unayosemaMkuu Faida ya 2 Milion kwa Mwezi unaweza kuipata ila nilazima uwe mpiganaji kweli kweli.Na Uwe Tofauti kabisa na wengine.Sasa swala la ni shghuli gani hapo Inategemea na wewe unataka kuanza kutengeneza Pesa Baada ya Muda Gani?Na Hii 20 M Umeipataje...Ila kwa Biashara kwa 20M zipo Biashara ambazo watu wanapiga hadi 50% Profit ila lazima Upambane kweli kweli.
Mkuu Biashara ziko za aina nyingi,Kuna Biashara za HUDUMA,Kuna NICHE BUSINES,Kuna Tech Business iategemea na Skills set zako na Market research yako.Ila biashara ambzo zinaweza kukupa Faida ya 2M per month kwa mtaji wa 20M ni nyingi sana.Mkuu unaweza kushare uzoefu au mifano ya bishara unayosema
Duka la pembejeo za kilimo.Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
Return of nini vile 😂🤣, investmentMkuu,
Hapo kwenye roi (ROI) wadau ambao hawajasoma mambo ya Finance unawaacha kapa (RETURN ON INVESTMENT) 😊😊😊 Hawata ijua mkuu wafafanulie...