Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimescreenshotBro, lete 10million tuagize viazi mkoani (vya chipsi) mimi nakupa milioni 1.5 kila mwezi kama faida/gawio. Mtaji wetu upo pale pale.
Kuandikishana na kutambuana kihalali yaani kisheria kabisa bila kona kona.
Mkuu mtafute huyu kuna mwanga hapa.ila aweke dhamana ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya 15 mil na mikataba isainiwe kwa mwanasheria mkewe ahusikeBro, lete 10million tuagize viazi mkoani (vya chipsi) mimi nakupa milioni 1.5 kila mwezi kama faida/gawio. Mtaji wetu upo pale pale.
Kuandikishana na kutambuana kihalali yaani kisheria kabisa bila kona kona.
Ukitaka mali utaipata shamban, kilimo ni kila kitu...piga research ya kutosha mkuu..ingia shambaBro, lete 10million tuagize viazi mkoani (vya chipsi) mimi nakupa milioni 1.5 kila mwezi kama faida/gawio. Mtaji wetu upo pale pale.
Kuandikishana na kutambuana kihalali yaani kisheria kabisa bila kona kona.
Nilichoandika nina uzoefu nacho. Mimi silimi viaziUkitaka mali utaipata shamban, kilimo ni kila kitu...piga research ya kutosha mkuu..ingia shamba
Hahaha kama sina mke? Mbona uko local sana? Kuweka dhamana jambo jema, mambo ya mke sidhani kama hapo ni mahala pake.Mkuu mtafute huyu kuna mwanga hapa.ila aweke dhamana ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya 15 mil na mikataba isainiwe kwa mwanasheria mkewe ahusike
Katafute hela ulete.Nimescreenshot
Awe makini kama ushazama tuita matajiri localNilichoandika nina uzoefu nacho. Mimi silimi viazi
Hahaha kama sina mke? Mbona uko local sana? Kuweka dhamana jambo jema, mambo ya mke sidhani kama hapo ni mahala pake.
Matajiri hawana maneno mengi kama wewe.Awe makini kama ushazama tuita matajiri local
Utakuwa kibaka ww unaamini ya matapeli wa KenyaMatajiri hawana maneno mengi kama wewe.
Jipange.
Sio jambo jema , NI LAZIMA.Nilichoandika nina uzoefu nacho. Mimi silimi viazi
Hahaha kama sina mke? Mbona uko local sana? Kuweka dhamana jambo jema, mambo ya mke sidhani kama hapo ni mahala pake.
Sawa.Utakuwa kibaka ww unaamini ya matapeli wa Kenya
Masikini banah!Sio jambo jema , NI LAZIMA.
Then kaweke kiwanja hakuna anaweza wekeza kwenye Ur intergrity wakati kakujua barabarani .kwa maelezo yako mtaji unaweza ukopa ukapata faida yote ww.huyu alikuwa anatafuna wazo la biashara sio patner .inamaana Huo ujuzi wa kuzungusha hela unaweza pata mil 1.5 kwa mwezi angeupata kijana mwenye kiwanja kinyerez cha mil 15 .asingesita kuweka dhamana kwani kwake ni ajira .Masikini banah!
Hapo hata 100 huna.
Mnapenda biashara zisizo na risk halafu mnatarajia faida kubwa, nani kakwambia?
Kaweke bank au UTT AMIS hiyo milioni 10 yako, upate milion 1.5 kwa mwezi zero risk uone kama watakupa.
Kama naweka dhamana, huo ni mkopo, siwezi kutoa riba ya 15% kila mwezi ntakuwa namfaidisha yeye wakati amekaa nyumbani kwake.
By the way, nina uwezo wa kwenda bank nikakopa mwenyewe 10 milion na riba haifiki huko.
Mimi nimemwambia tufanye biashara, atoe capital, natoa manpower na usimamizi. Aje ninapofanya biashara, apafahamu ninapoishi, ajue utambulisho wangu wote ajiridhishe kila kitu aweke pesa.
Unaposema LAZIMA kwani nimeomba mkopo? Kiwanja changu kimoja Kinyerezi kinanipa mkopo wa milion 10 bila shida yoyote. Why those hustles?
Acha ubishi basi, si aje naye tufanye wote. Wazo atalipata akikaa kwao?Then kaweke kiwanja hakuna anaweza wekeza kwenye Ur intergrity wakati kakujua barabarani .kwa maelezo yako mtaji unaweza ukopa ukapata faida yote ww.huyu alikuwa anatafuna wazo la biashara sio patner .inamaana Huo ujuzi wa kuzungusha hela unaweza pata mil 1.5 kwa mwezi angeupata kijana mwenye kiwanja kinyerez cha mil 15 .asingesita kuweka dhamana kwani kwake ni ajira .