Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Kazi ya msanii ni kuonensha sanaa yake kukubalika ama kutokukubalika hiyo sio shida Kama hilo jeneza lingetambulishwa na wachezaji ama viongoz wa simba basi ingalionekana Kama ttzo ila hao wasanii tu wanafanya hayo hata kwenye majonzi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hii Ni aibu kabisa
Mshana Jr
Mkuu .....uletwaji wa ilo dude (coffin) uwanjani..kulikuwa na maana gsni
Nini maana ya sanaa!? Walioleta ni wasanii walikuwa wanafanya sanaa.. Shida ingekuja kama lingekuwa na maiti ndani yake..HIYO TUSINGEITA SANAA.. Lakini kama ndani yake kulikuwa na kinyago kilichovishwa jezi za njano hiyo ni SANAA
 
Ni kweli
 
Mkuu ile ni sanaa tu.
 
Mie ile kitu cjaipenda kwa kwel
 
Spritually Simba kuingia na Jeneza ndani ya uwanja likiwa na shabiki waondani Ni ishara mbaya kwso. Kifupi wamejizika kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…