Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Mmejibiwa na Mchungaji huku
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika

====

Tendo hili ni kufuru kwa ishara zilizotakatifu kwa Imani yaani Msalaba. Kutumia msalaba kudhihaki ni dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini kwamba walikombolewa katika msalaba huo. Ni tusi kubwa kwao. Mbaya zaidi kuvaa mavazi yanayofanana na yale yanayotumiwa katika ibada takatifu ni kuzifanya ibada za Kikristo kichekesho. Inasikitisha sana. Sikutegemea tumefikia hatua hiyo.

NI TUMAINI LETU KWAMBA UONGOZI WA SIMBA UTALAANII KITENDO HIKI NA KUOMBA SAMAHANI KWA WAAMINI WAKRISTO.

Askofu Method Kilaini
 
Attachments

  • OI98GwRCC2RGdGpM.mp4
    705.5 KB
Misalaba ipo kabla ya Ukristo.
Hakuna mtu wala imani inayojimilikisha misalaba.

Kama ulikuwa Msalaba wa Ukristo basi ni vema sana kwakuwa Kristo anatangazwa popote na kwa lolote, kwa ubaya na uzuri Kristo anatangazwa.

Waliokemea wangekemea kwanza picha za Ngono na Escrow.

Hii ni aibu kwa mtu anaye jiita Askofu
 
Tendo hili ni kufuru kwa ishara zilizotakatifu kwa Imani yaani Msalaba. Kutumia msalaba kudhihaki ni dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini kwamba walikombolewa katika msalaba huo.
View attachment 2319291

1660299281748.png
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika

====

Tendo hili ni kufuru kwa ishara zilizotakatifu kwa Imani yaani Msalaba. Kutumia msalaba kudhihaki ni dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini kwamba walikombolewa katika msalaba huo. Ni tusi kubwa kwao. Mbaya zaidi kuvaa mavazi yanayofanana na yale yanayotumiwa katika ibada takatifu ni kuzifanya ibada za Kikristo kichekesho. Inasikitisha sana. Sikutegemea tumefikia hatua hiyo.

NI TUMAINI LETU KWAMBA UONGOZI WA SIMBA UTALAANII KITENDO HIKI NA KUOMBA SAMAHANI KWA WAAMINI WAKRISTO.

Askofu Method Kilaini
View attachment 2319291
Gundu lilianzia hapa , kifupi ni kwamba mlizika timu yenu wenyewe, msimu utakua wa msiba na vilio.. tupate wadhamini kidogo
JamiiForums716299035.jpg
 
Back
Top Bottom