cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nashangaa, watu washasahau, eti yeye anakuja na hii issues lolWakatoliki hawanaga mambo ya kulalamika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa, watu washasahau, eti yeye anakuja na hii issues lolWakatoliki hawanaga mambo ya kulalamika.
Waliwahi kukulipua marinda eeh?Tundamani.....atakuwa ni wale wa kujilipua ili waende mbinguni
Stan Bakora aliposoma historia ya marehemu alisema marehemu alikufa sababu ya mdomo mdomo na kuwa na mwiko nyuma
Maana yake. Ni Nini Sasa kinyago ndo kimekufa au vpNini maana ya sanaa!? Walioleta ni wasanii walikuwa wanafanya sanaa.. Shida ingekuja kama lingekuwa na maiti ndani yake..HIYO TUSINGEITA SANAA.. Lakini kama ndani yake kulikuwa na kinyago kilichovishwa jezi za njano hiyo ni SANAAView attachment 2318654
Marangapi tunaona wasanii wa maigizo bong muvi na bongo staa, wacheza mziki wakivaa mavazi yanayo fanana na yale ya ibada na pia kuigizia makanisani tena ya roman katoloki huku wakivaa misalaba mikubwa kama maaskofu na hata wanenguaji wa mziki wanachezea makanisani na kurekodi.
Haijawahi askofu wa katoloki kujawa na upepo wa kijinga kama UTOPOLO, kwa sababu ni wasomi na wanajua kuchambua mambo kwa akili na imani "fath with reason" hawakurupuki!
Kwa hiyo msimrishe maneno ya KITOPOLOTOPOLO eti kalaani kwani yeye ni mwelewa na hawezi kuwa UTOPOLO!
By the way RC inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu maalum. Yaani kuna TEC, Rais wa TEC, Katibu wa TEC hao ndiyo wasemaji wa kanisa Katoliki siyo UTOPOLO wenye maumivu ya kuona Mnyama akipeta kwa kasi ya ajabu!
Subiri tu kumwagiwa mrembo wa poriKhaaaaaaaaah, sasa jeneza ni ushirikina??? Serious??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavurugwa vibaya siku hizi. Umepatwa na nn??
Byuti byuti
Kuna wacheza sinema za wakubwa huvaa kross nenda ukapigane nao,acha kukaza fuvu hapa.Tuliza akili we bibi, tuwe wakweli huyo aliyevalia kiaskofu na huo msalaba hivi lingekua lile jeneza lenu la msikitini na ingeshikwa tasbihi pale ungeongea haya? Mbona kila siku ni kuigiza kikristo tu na si kiislam?
Nyie kudhihakiwa kuran si huwa mnahamaki kiasi cha kuchoma makanisa? Punguza ashki kuwa realistic.
Hawawezi kamatwa Kwa kuwa ilikuwa ni mechi live Yanga na Simba tofautisha ya Simba dayHawa walikamatwa?
Unataka upate jawabu kwa tukio ambalo halijatokea? Hivi wewe ni mzima kweli?Hivi angetumia lile jeneza la msikitini hali ingekuaje?
Nawee unataka kumwagiwa uji wa lishe mzito mzito???Subiri tu kumwagiwa mrembo wa pori
kilaini wa mchongo. uto bhana...Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.
Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini
Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
View attachment 2319369
Acheni dhihaka na dini za watu.Huyo mwenye akaunti hiyo ni shoga na sio Kilaini tunayemjua.
Mwambieni akatubu kwa baba askofu Kilaini kutumia jina lake bila ridhaaa.
Kama anapenda ukoo wa Kilaini aende akaolewe na ndugu wa baba askofu Kilaini.
Nimeuliza swali rahisi tu, wangetumia lile jeneza lenu la msikitini na kushika tasbihi msingeingia barabarani?Mleta mada chuki ya udini inakutafuna,ungeleta thd kukemea hilo tukio bila kuingiza dini zingine,kidogo ungeonekana upo timamu,ila unasasambua tu hapa kuingiza dini zingine.
Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.
Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini
Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
View attachment 2319369
Mbona hata kwenye movie watu wanaigiza hadi makanisani?Huo ni Uzushi.Hiyo siyo account ya Kilain.Mchezo wa majeneza na msalaba walianza Yanga.Kilaini hawezi kuandika upupu
Unarudia upumbavu wako ule ule,cha ajabu unaweza kukuta ww ni mtu na ndevu zake kabisaa.Nimeuliza swali rahisi tu, wangetumia lile jeneza lenu la msikitini na kushika tasbihi msingeingia barabarani?
.Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
====
Tendo hili ni kufuru kwa ishara zilizotakatifu kwa Imani yaani Msalaba. Kutumia msalaba kudhihaki ni dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini kwamba walikombolewa katika msalaba huo. Ni tusi kubwa kwao. Mbaya zaidi kuvaa mavazi yanayofanana na yale yanayotumiwa katika ibada takatifu ni kuzifanya ibada za Kikristo kichekesho. Inasikitisha sana. Sikutegemea tumefikia hatua hiyo.
NI TUMAINI LETU KWAMBA UONGOZI WA SIMBA UTALAANII KITENDO HIKI NA KUOMBA SAMAHANI KWA WAAMINI WAKRISTO.
Askofu Method Kilaini
View attachment 2319291